Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Mwenzio kalamba 100M juzi tu,
 
ndio maana yanga hakueleweki, kumbe watu hawa wako kule pia, uenyekiti wa Manji utakuwa mgumu sana!
 
Zahera kesha sema waliomlipa wamtafutie na timu.
 
Beno bado tunakuhitaji yanga

Musiba nakupa heko mi siasa sijui
Kabisa. Kwa mwana yanga anayepinga kitendo cha musiba simuelewi kwa sababu kama mchezaji alikuwa anadai hela yake nyingi hivyo ni halali tu agome,ila kama musiba ameokoa jahazi tumpongeze manake huyu kipa bado ni muhimu sana kwetu. Tusimchukia musiba kutoa hizo hela kwa sababu ya Michezo,huku ni Yanga
 
Eti siku chache zijazo,Yanga badilisheni mfumo, ko musiba asipompa siku chache zijazo itakuaje
 
Huyu Mr Death naye mtu wa ajabu sana. Hiyo millioni mbili si angeweza kuitoa kimya kimya bila camera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…