Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Hapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]
Mwenzio kalamba 100M juzi tu,
 
ndio maana yanga hakueleweki, kumbe watu hawa wako kule pia, uenyekiti wa Manji utakuwa mgumu sana!
 
Beno bado tunakuhitaji yanga

Musiba nakupa heko mi siasa sijui
Kabisa. Kwa mwana yanga anayepinga kitendo cha musiba simuelewi kwa sababu kama mchezaji alikuwa anadai hela yake nyingi hivyo ni halali tu agome,ila kama musiba ameokoa jahazi tumpongeze manake huyu kipa bado ni muhimu sana kwetu. Tusimchukia musiba kutoa hizo hela kwa sababu ya Michezo,huku ni Yanga
 
Eti siku chache zijazo,Yanga badilisheni mfumo, ko musiba asipompa siku chache zijazo itakuaje
 
Huyu Mr Death naye mtu wa ajabu sana. Hiyo millioni mbili si angeweza kuitoa kimya kimya bila camera?
 
Back
Top Bottom