Huyo sidhani hata kama ofisi za Lumumba amewahi kuingia ndani.Anaaminika sana hapo Lumumba siku hizi na ndo msemaji mkuu wa serikali, yule mwingine amebaki kwenye makaratasi tu.
Duu!Huyu jamaa punguani kweli kweli.
Chief Zahera kashamtema,Mikia mchukueni.Musiba ameahidi kumlipa Beno mil 13 pesa za usajili zilizobaki siku chache zijazo
Huyu jamaa ni sawa na mbwa Kichaa,so hana budi kupigwa risasi.Mirembe Ipo Wapi
Watu Wanazagaa Bila Vipimo
Mae, zake shoga Musiba....
Huyo sidhani hata kama ofisi za Lumumba amewahi kuingia ndani.
Kazi kwake.Basi we ndio utakuwa mgeni wa chama musiba ni kaada wa ccm kiliko unavyodhani. Huyu toka akiwa mtangazaji alikuwa anashinda lumumba amepambana sana kupata ubunge ila ndio ivyo tatizo nyota
Hizo milioni mbili Yanga walishindwa kumlipaHapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]