Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Basi we ndio utakuwa mgeni wa chama musiba ni kaada wa ccm kiliko unavyodhani. Huyu toka akiwa mtangazaji alikuwa anashinda lumumba amepambana sana kupata ubunge ila ndio ivyo tatizo nyota
Huyo sidhani hata kama ofisi za Lumumba amewahi kuingia ndani.
 
Basi we ndio utakuwa mgeni wa chama musiba ni kaada wa ccm kiliko unavyodhani. Huyu toka akiwa mtangazaji alikuwa anashinda lumumba amepambana sana kupata ubunge ila ndio ivyo tatizo nyota
Kazi kwake.

Ataemuingiza huyo bungeni atakuwa ni punguani zaidi yake.
 
Hapo utakuta kamejichanga Miezi 4 kufikisha hio Mil2. Wakati ni matumizi ya masaa tu inakatika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Namsikitikia sana mke na watoto wake huyu Musiba. Utakuta anawaweka vikao kila siku akiwaeleza kuhusu watu anaohisi wanamfanyia hujuma JPM, na kuhusu katiba ibadilishwe kipengele cha Miaka 5 kwenda kwenye Miaka 7 ili JPM apige miaka 14 [emoji18] [emoji53]
Hizo milioni mbili Yanga walishindwa kumlipa
 
Hujawaona leo wanataka kutoana roho kuhusu viingilio. Amekamatwa mmoja anaingiza watu 8 kwa tiketi 1.
Njaa mbaya wacha tu. Isikie kwa mwenzako.
 
Back
Top Bottom