Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu.
Pia, Soma:
• Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
• Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
• Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%