Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna baadhi wanaweza kuhisi amerukwa na akili ila jamaa ana kitu, wakipuuzia ipo siku watakumbuka shuka tayari kumekucha
Amerukwa na akili ndio,kwanini nasema hivyo?
Kwa akili ya kawaida tu tukio la uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema kati ya Mbowe na Lisu lilikuwa la kihistoria kwa maana limekuwa na mvuto mkubwa

Sasa kipi cha ajabu hapo,ameongea ujinga tu
 
Mwaka huu tutaongea lugha moja tu subiri na bado kila adui atajisalimisha.
Iko hivi:
Huyu Musiba ni mtu wa kanda ya serengeti anapotokea kijana Heche. Anajua wazi kwamba akimpinga Heche ni nini vijana wa serengeti watamfanyia. Vijana ni ndio nguvu kazi na wazee ni wa ushauri tu (kwa utamaduni wa watu wa kanda hiyo). Kwa kawaida, mtu yeyote anayeoneka kukwamisha mambo yao huko serengeti huwa wanampelekea moto kwa kuwa kauzibe. Sidhani hata kama wasira ana uwezo wa kumpinga Heche ila kumsupport ktk madai yake. Sasa Kanda pendwa imetoa makamu wawili (Wasira na Heche), sasa tuone ideas zao zitatusaidaje sisi watanzania kwa ujumla wetu.
 
Wakuu

Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu.
View attachment 3215323

Pia, Soma:

Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Musiba ni speaker ya jikoni!

Ujumbe huo ninkwamba CCM ya samiah imekufa mbele ya chadema na chadema inaenda kupata promo kama hizo iaminike na watz kwamba chadema inakomaa na ccm ya mama Haina lolote kabisa!!

Maneno hayo yana baraka za wenye nchi waliompa musiba script ya kusema hayo!

Kumbuka Membe alipojitokeza tu kumkabili musiba akaonywa na kushupaza shingo ............!!!
 
Kuna baadhi wanaweza kuhisi amerukwa na akili ila jamaa ana kitu, wakipuuzia ipo siku watakumbuka shuka tayari kumekucha
Katumia lugha ngumu sana kwa CCM. Kwa maana nyingine CCM imemrudisha Wasira kwenye Uongozi wakifikiri Watz ni wale wale wa miaka ya Nyerere. Au eti Musiba akamshangae Msanii wa Bongo Flavour aache kufuatilia Uchaguzi wa Chadema??
 
Amerukwa na akili ndio,kwanini nasema hivyo?
Kwa akili ya kawaida tu tukio la uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema kati ya Mbowe na Lisu lilikuwa la kihistoria kwa maana limekuwa na mvuto mkubwa

Sasa kipi cha ajabu hapo,ameongea ujinga tu
Nyinyi ndo wagumu sana kukubali kuwa CCM ya Samia haina mvuto kwa jamii ya sasa!
Sawa endeleeni kujidanganya!
 
Back
Top Bottom