Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

Pre GE2025 Musiba: CCM walikusanya wasanii Dodoma bila faida na CHADEMA haikuzimwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
so sad i haven't heard the interview. the video has been removed by uploader
 
Wewe mwenyewe ni msanii!

Ulifanya Sanaa nyingi sana wakati wa awamu ya bwana yule na ukajitoa ufahamu na kutukana watu.

Infact, wewe ndiye muasisi wa uchawa! Tuambie deni la Marehemu Membe umelipa? Tuanzie hapo!
 
Ila suala la kutumia wasanii naona ni aina ya ushamba na kutojiamini
 
ChaDema vigeu geu sana...huyu mtu kipindi Cha Jiwe alikuwa adui mkubwa sana wa Cham chenu! Leo hii mnatumia kauli yake reference na kusifia chama chenu!
 
Ohoo..huyu jamaa mbona anaharibu sasa.
Aachane na CCM..aisee..
Ni hatari
 
Ccm hawana ushawishi wako ni kutumia wasanii vibaya na kuwahonga Kodi zetu huku walimu wetu wakilia njaa na madeni mpaka wimbi la walimu kuchanganyikiwa linazidi,ndoa zinavunjika Kwa umaskini nk. nk.
Chama kinathamini miziki ya matusi kuliko elimu ptuuh!!
 
Musiba ana lengo moja tu kwa sasa. Kuwatisha CCM, kusema udhaifu wao kwa lengo la kuwatisha. Ili warudishwe chamani watu wa JPM aka Sukuma Gang.
 
Hapo Musiba dhamira yake ni nini hata wasanii wamfanyie uchawa na kampeni Rais Hassan? Anakosoa kamati ya waandaaji wa mkutano?
 
Hee!!!
Amewageuka wenzake
Mbinu hiyo, toka Jiwe adanje inaonekana channels zimekata. Atawashambulia mpaka wampe channel ya ulaji ndiyo ataanza vitimbwi vya kuishambulia CHADEMA na viongozi wake.
Jamaa 'anafosi kingi' kiaina, hapo washamuelewa labda waamue kumkaushia.
 
Wakuu

Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu.
View attachment 3215323

Pia, Soma:

Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%
Saa iigine hata saa mbovu inasema ukweli. Kumbe nyie wapuuzi miaka yote mmekuwa mkifanya ujinga mk8firi na sisi na wajinga kama nyie. Mtakuja kujuwa kuwa wataanzania sio wajika when it will be too late.
 
Jinga, Musiba anatutukana, kwamba ukiishi na watu wanaoanza kujitambua lazima ubadili namna ya ku deal nao, kumbe Ccm ina deal na sisi ikiwaza sisi ni wajinga!

Imagine. Yaani Musiba anadai kuwa Watanzania wameanza kujitambua.. Kwa hiyo akina Kikwete wamekuwa wakiongoza Manyumbu? Wenye akili ni CCM peke yao. Duh. Hili ni tusi kubwa kwa Watanzania.
 
Back
Top Bottom