Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu.
Jinga, Musiba anatutukana, kwamba ukiishi na watu wanaoanza kujitambua lazima ubadili namna ya ku deal nao, kumbe Ccm ina deal na sisi ikiwaza sisi ni wajinga!
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu.
Ni kweli kabisa zama za kutumia wasanii kwenye mikutano ya siasa ni upuuzi mtupu.
Watu wameelemika wanataka kusikia hoja za mashiko kuhusu mustakabali wa taifa letu.
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu. View attachment 3215323
Jinga, Musiba anatutukana, kwamba ukiishi na watu wanaoanza kujitambua lazima ubadili namna ya ku deal nao, kumbe Ccm in deal na sisi ikiwaza sisi ni wajinga!
Yuko sahihi Musiba, ni kweli CCM inaongoza bila kuresearch kwasasa inaongoza watu gani matokeo yake inajikuta lazima itumie nguvu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ili uongoze kirahisi lazima uwafanye watu wajinga, hii mbinu kwasasa haifanyi kazi maana kuna njia nyingi za kuondoa ujinga nje ya mfumo rasmi.
System ya uongozi wa sasa ni kutumia watu wenye akili nyingi kuongoza watu wenye akili wenzao, sasa CCM inaamini kwa wajinga kuongoza watu werevu.

Huyu jamaa anaweka wazi jinsi CCM wanavyoona Watanzania. Kwa hiyo Watanzania hawajitambui? Wajinga. inasikitisha sana, kama huu ndio mtazamo wao watawala.
Lakini hili jama ni vuvuzela, inawezekana lilipigwa chini kwa kuchukuliwa Wasanii, sasa lina hasira nao.
Yuko sahihi Musiba, ni kweli CCM inaongoza bila kuresearch kwasasa inaongoza watu gani matokeo yake inajikuta lazima itumie nguvu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ili uongoze kirahisi lazima uwafanye watu wajinga, hii mbinu kwasasa haifanyi kazi maana kuna njia nyingi za kuondoa ujinga nje ya mfumo rasmi.
System ya uongozi wa sasa ni kutumia watu wenye akili nyingi kuongoza watu wenye akili wenzao, sasa CCM inaamini kwa wajinga kuongoza watu werevu.
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamini kwenye nguvu ya wasanii katika mikutano yake hakina msaada kwa chama hicho hata kwenye uchaguzi wa CHADEMA nguvu yao haikuweza kufunika mijadala ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Tundu Lissu. View attachment 3215323
Nimeisikiliza interview yake, kwa kweli amekubari mziki wa Lissu na amekuwa Muungwana. Mengi aliyozungumza humo nimeyakubali na inaonekana tu anataka kurudisha siasa za Bashiru na polepole za kutumia dola kubaki madarakani, ndio ujumbe niliopata kwa kumsikiliza.
Jingine, ni hili suala la kwamba hakuna muda wa kufanya marekebisho ya katiba, kwa kweli lina ukakasi kwa vipengere hivyi:
1. Hivi ni kweli CCM hawajui kwamba wananchi wanataka nini kuhusuiana na katiba au Tume huru?
2. Kama muda hautoshi, hii ni hoja muflisi, humo Bungeni miaka hii 5 inayomalizika June 2025, wabunge walikuwa wanafanya nini? Ni Kwmba, walitumwa pale kuwakilisha matakwa ya wananchi na sio kununua muda ili waje waseme hautoshi waongeze tena, ajabu sana.
Musiba- Hongera kwa kuwa mkweli poti- sasa nchi imegeukia mkoa wa Mara (mkoa wako) ili kutoa muongozo wa namna ya kuongozwa kupitia Mzee Wasira na kijana Heche, na wewe unajua kabisa huko Mara ni Vijana huwa ndio wapiganaji na wazee ni watu wa kusherehekea ( Abhakora enyanchi- kwa lugha yao). Uwe mwangalifu (kwa maneno na vitendo vyako) maana unajua fika kwamba vijana wa kanda ya serengeti (hao Wakurya, Wangoreme, wanata, Abhairege, waikoma etc) huwa wanamfanya nini kwa kijana mwenzao asiyetaka mabadiriko au asiye taka kutoa ushirikiano kwa mambo wanayoyataka. Na wewe umetokea humo humo kwenye jamii hiyo.
Angalau sasa umeusema ukweli na Mziki wa Heche na Lissu ni wa hatari sana- CCM wasilete tena longolongo hiz za hiena hiena.