Musiba: CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe, watashindwa vipi kuvunja Katiba?

Musiba: CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe, watashindwa vipi kuvunja Katiba?

Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Huyu mkuu alivyokuwa akiongea 'wakati ule' dhidi ya watu wengine, ni wazi kwamba he's insensitive to the feelings of others. Nilisikitika sana baada ya kusikiliza baadhi ya clips, akikejeli Tundu Lissu kupigwa risasi, kwamba hazikuwa risasi za kweli, bali ni rubber bullets. Inabidi tujifunze kuvumiliana hata kama tuna tofauti za kiitikadi au kimasilahi, maana yote tuliyonayo baada ya muda hupita na tunabaki sawa na wale tuliowadharau tulipojiona sisi ni bora kuliko wao.
 
Wala! Nimeuliza swali dogo tu: Hati ya mashitaka inaonyesha mshitaki ni nani, ni membe, au membe & family?
Hukumu imetoka kashinda Mzee Membe hizo hela zikabidhiwe kwa msimamizi wa mirathi wa familia.
 
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
 
Back
Top Bottom