Musiba: CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe, watashindwa vipi kuvunja Katiba?

Musiba: CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe, watashindwa vipi kuvunja Katiba?

..hoja ya Musiba ni ya kijinga.

..Musiba anaweza kujibiwa hivi; Ccm wanaheshimu sheria zao, kwanini wanavunja katiba ya nchi?
 
Siasa ni kama umuweke sisimizi kwenye mpira
Atazunguka anarudi palepale
Ndio hawa sasa
Wamefika wangapi vile?
Waliotoka watarudi tena
Huyu kawekwa tena awavuruge tu utumbo wa njaa
 
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Hauwezi kutetea maovu Kwa kufananisha maovu ya mtu mwingine. Eti naiba Kwa sababu na wewe unaiba. Musiba hoja za kitoto. Wewe tetea Kwa nn CCM inavunja katiba. Na kama Chadema walivunja katiba Kwa tukio gani? Walipoandamana Mikoa mitano waliwahi kufanya vurugu wapi na lini? Nape aliposema kuna mbinu nyingi za kuiba kura kikosi Cha intelligence kimechukua hatua gani dhidi yake. Hayo siyo maneno ya kusababisha vurugu? Aliyedai kupoteza watu amechukuliwa hatua gani? Siyo maneno ya kusababisha vurugu? Watu wa leo siyo wa mwaka 47 asitufanye waTanzania mazuzu akawaambie wasiojua hata Facebook na YouTube n nn!
 
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?

Anadhani anaweza kufufuka? La hasha alishakufa na tukamzika hawezi kufufuka tena labda misa za kila mwaka.
Unenayo hayawezi kusaidia usilipe deni au kuendelea kufilisiwa.
Hukumu ilishakaziwa na hakuna nafasi ya rufaa tena.
 
Kaibuka tena eee, familia ya Membe fufueni ile kesi - karudii tenaa.
 
Mlipwaji ni membe, hayupo.
Mshauri lisu afungue kesi mahakamani kudai uthibitisho kama membe alilipwa kabla ya kunanii!
Utaratibu hauko hivyo,Musiba anatakiwa ailipe Familia ya Hayati Membe kama Mahakama ilivyoamuru.
 
Hizi kanuni Watanzania tunazitoa wapi? Kwamba, msafi asimkosoe msafi mwenzake au mchafu asimkosoe mchafu mwenzake. Au ndio tuache wafu wazike wafu wenzao?
 
Back
Top Bottom