Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kunguru bado yupo alikuwa machakani sasa hivi kaibuka hahahaaa japo mimi CCM ila huyu ni dekio tu, kaibuka tena kwa matumizi maalumuMwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Msukule wa mwenda zake unaanza kukata viunoafichoniMwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Mlipwaji ni membe, hayupo.Hivi alishailipa Familia ya Hayati Membe?!
Kwani tulienda wapi? Huoni mama amepiga huku na huko mwishoe ameomba poo? Amejaribu walamba asali ameona wanamzingua tu 😆😆Sukuma gang wamerudi kwa Kasi ya ajabu 😂😂
Sijui hata kaongea nini?Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Hauwezi kutetea maovu Kwa kufananisha maovu ya mtu mwingine. Eti naiba Kwa sababu na wewe unaiba. Musiba hoja za kitoto. Wewe tetea Kwa nn CCM inavunja katiba. Na kama Chadema walivunja katiba Kwa tukio gani? Walipoandamana Mikoa mitano waliwahi kufanya vurugu wapi na lini? Nape aliposema kuna mbinu nyingi za kuiba kura kikosi Cha intelligence kimechukua hatua gani dhidi yake. Hayo siyo maneno ya kusababisha vurugu? Aliyedai kupoteza watu amechukuliwa hatua gani? Siyo maneno ya kusababisha vurugu? Watu wa leo siyo wa mwaka 47 asitufanye waTanzania mazuzu akawaambie wasiojua hata Facebook na YouTube n nn!Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Swala siyo hayupo! Na familia imeteketea?Mlipwaji ni membe, hayupo.
Mshauri lisu afungue kesi mahakamani kudai uthibitisho kama membe alilipwa kabla ya kunanii!
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Utaratibu hauko hivyo,Musiba anatakiwa ailipe Familia ya Hayati Membe kama Mahakama ilivyoamuru.Mlipwaji ni membe, hayupo.
Mshauri lisu afungue kesi mahakamani kudai uthibitisho kama membe alilipwa kabla ya kunanii!
Hati ya mashitaka inaonyesha mshitaki ni "Membe & family"?Utaratibu hauko hivyo,Musiba anatakiwa ailipe Familia ya Hayati Membe kama Mahakama ilivyoamuru.
Kwani mshitaki alikuwa "Membe & Family" au Membe peke yake?Swala siyo hayupo! Na familia imeteketea?