Hukumu ilishatoka, lazima kuna Mwanafamilia alieachiwa Power of attorney Musiba alipe.Hati ya mashitaka inaonyesha mshitaki ni "Membe & family"?
Huyu mkuu alivyokuwa akiongea 'wakati ule' dhidi ya watu wengine, ni wazi kwamba he's insensitive to the feelings of others. Nilisikitika sana baada ya kusikiliza baadhi ya clips, akikejeli Tundu Lissu kupigwa risasi, kwamba hazikuwa risasi za kweli, bali ni rubber bullets. Inabidi tujifunze kuvumiliana hata kama tuna tofauti za kiitikadi au kimasilahi, maana yote tuliyonayo baada ya muda hupita na tunabaki sawa na wale tuliowadharau tulipojiona sisi ni bora kuliko wao.Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?
Sasa si ujibu swali langu kwanza halafu ndo tuendelee na mengineyo!Hukumu ilishatoka, lazima kuna Mwanafamilia alieachiwa Power of attorney Musiba alipe.
Amlipe nani?.Deni la membe kalipa?
Sema unataka kuendekeza ubishi.Sasa si ujibu swali langu kwanza halafu ndo tuendelee na mengineyo!
Wala! Nimeuliza swali dogo tu: Hati ya mashitaka inaonyesha mshitaki ni nani, ni membe, au membe & family?Sema unataka kuendekeza ubishi.
Hukumu imetoka kashinda Mzee Membe hizo hela zikabidhiwe kwa msimamizi wa mirathi wa familia.Wala! Nimeuliza swali dogo tu: Hati ya mashitaka inaonyesha mshitaki ni nani, ni membe, au membe & family?
Mwanaharakati Cyprian Musiba katika mazungumzo yake amesema kama CHADEMA wanavunja Sheria zao wenyewe ,watashindwa vipi kuvunja KATIBA ?