Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

Hili linaongea utumbo gani, Mzee alitekwa hadharani halafu yeye anashangaa Mnyika kapataje habari.
 
Kumbukeni Musiba akiongea ni TISS inaongea.

Msijisahaulishe
 
Huyu Musiba ni msiba kwelikweli, aliyemwambia kuwa Mnyika atakataa kuhojiwa ni nani? ILIMRADI TU AKAHOJIWE MBELE YA TUME HURU YA KIJAJI YA UCHUNGUZI na siyo kwenda kuhojiwa na wauaji haohao.
 
Sasa hawa mbona hawajui kuficha mambo yao? Kujitokeza kwa huyu si dhahiri sasa wanaonyesha wanayoyafanya?! Kwa nini Musiba ajitokeze? Hivi washauri wao ni kina nani? Musiba anahusikaje mpaka ajitokeze tena sasa hivi? Si ni yaleyale ya JPM? Na haya si ndio mambo yalikuwa yanaleta hasira sana kwa wananchi? Kwa nini wanarudia yaleyale? Au ndio M/Mungu anawaonyesha dhahiri? Jamani damu ya mtu huwa haimwagiki bure. Mtalipia tu.
 
Bado ni mwanaharakati huru??
 
Amerudi tena, the more things change the more they remain the same🐼
 
 

Attachments

  • IMG-20240911-WA0019.jpg
    190.7 KB · Views: 5
Hili liumbwa kumbe ni jeupe sana, hata kumsikiliza tu na kumwelezea m.nyika na Chadema wakieleza jinsi walivyofanya taarifa haliwezi kuelewa?
Unabiwa wenye basi wanamfahamu huyo mzee, waliowapigia familia yake, familia ndiyo ikiwajulisha Chadema sasa anasema nini hapo?
 
Huyu Musiba ni msiba kwelikweli, aliyemwambia kuwa Mnyika atakataa kuhojiwa ni nani? ILIMRADI TU AKAHOJIWE MBELE YA TUME HURU YA KIJAJI YA UCHUNGUZI na siyo kwenda kuhojiwa na wauaji haohao.
sasa wewe maombolezo mbona umepanic na unamindi maoni na mtazamo wa wengine ambao ni uhuru na haki ya kila mtu kuijieleza?


halafu na wewe na maoni ya maana kabisa sasa sijui tatizo ni nini hadi uonyeshe mihemko kwenye maoni ya wengine..

kua muungwana gentleman,
jifunze kukubaliana kutofautiana bila mawaa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…