Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

Hili linaongea utumbo gani, Mzee alitekwa hadharani halafu yeye anashangaa Mnyika kapataje habari.
 
Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu baadhi ambao hawana makosa yoyote huku akishauri kusubiri ripoti kutoka kwa Vyombo vya Usalama na si kutumia matukio haya kisiasa na kuingiza chuki sababu ya watu binafsi.

Amesema "Ripoti haijatoka hajapelekewa Rais, tayari watu wameshaanza fukuza huyu, fukuza huyu, haiwezekani. Wanachosahau Vyama vya Siasa wanadhani wana Serikali yao na Wananchi wao. Ninachoweza kuwaambia ni kwamba hata ninyi mpo uchi, unaweza kuilaumu Serikali kuwa imefanya jambo fulani kumbe hata ninyi ndio mmefanya. Ninachoshauri tu mkileta tuhuma na kutengenza vipeperushi kuwa fukuza huyu, fukuza huyu hata ninyin mpo uchi. Hata ninyi huko ndani kwenye vyama vyenu kuna kamera zinawaona, mawasiliano yenu wanayaona watu. Mnaweza mkatuhumu watu, hizo tuhuma zikageuka. Mie nawatahadharisha na kuwashauri tu."

Aidha, kuhusiana na tukio la Mzee Ali Mohammed Kibao amesema anashauri yeye kama yeye kuwa kwenye uchunguzi mmoja wa Watu wanaotakiwa kusaidia Polisi ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kwa sababu yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa na kuzisambaza.

Amehoji "Nani aliyempa taarifa kuwa huyo jamaa kuwa kuna watu wanamteka? Huyu aliyempa taarifa Katibu Mkuu naya anaweza akasaidia Vyombo vyetu. Huyo aliyotea taarifa kuwa Mzee Kibao ameuawa naye anaweza akasaidia "

Ameongeza kuwa uchunguzi sio kwasababu ya Serikali tu, kwani inaangaliwa nani ameanza kutoa taarifa, kwenye basi kulikuwa na nani?, aliyewasiliana na Mnyika akiwa kwenye basi ni nani? Amesema hayo ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia kwa sababu Katibu wa Chama amaeanza kutoa taarifa hivyo asaidie.

Amemalizia "Mimi nashauri hapa si kwa nia mbaya, maana mtaanza kunitukana hapa na kunidhalilisha hapa ila ni kwa nia njema"

Amesisitiza "Lazima tulinde hadhi ya Urais, sio kila Mtu anaweza kuongea ongea tu, unamtukana Rais. Nafuatilia rafiki yangu mmoja yupo CHADEMA, siwezi kumtaja jina yeye kila akiamka ni kumtukana Rais tu, anamtukana tu. Na yupo tu wala hakuna mtu anayemjali. Kwenye page yake yeye ni kumtukana tu lakini la kumshukuru Mungu hakuna anayemjali maana inawezekana anataka akamatwe ila watu wamemwacha hakuna naye mjali na sasa ameanza kuchoka. Sio kila kitu anahusika Rais"​
Kumbukeni Musiba akiongea ni TISS inaongea.

Msijisahaulishe
 
sure taarifa official za mwanzo wa utekaji zilitokea HQ ya chama mapema na kwa wakati muafaka sana,

vile vile Taarifa official za kuuawa kikatili kwa kamanda Ally Kibao zilitokea HQ ya chama mapema sana tena kwa WAKATI muafaka sana...

surely,
HQ haina taarifa official za hapa katikati mateka alitendewa nini na wahusika? sio HQ kweli kumzima mdomo kamanda Ally Kibao asizuie mtu kushinda uchaguzi ingawa hana hoja wala uhalali?🐒
Huyu Musiba ni msiba kwelikweli, aliyemwambia kuwa Mnyika atakataa kuhojiwa ni nani? ILIMRADI TU AKAHOJIWE MBELE YA TUME HURU YA KIJAJI YA UCHUNGUZI na siyo kwenda kuhojiwa na wauaji haohao.
 
Sasa hawa mbona hawajui kuficha mambo yao? Kujitokeza kwa huyu si dhahiri sasa wanaonyesha wanayoyafanya?! Kwa nini Musiba ajitokeze? Hivi washauri wao ni kina nani? Musiba anahusikaje mpaka ajitokeze tena sasa hivi? Si ni yaleyale ya JPM? Na haya si ndio mambo yalikuwa yanaleta hasira sana kwa wananchi? Kwa nini wanarudia yaleyale? Au ndio M/Mungu anawaonyesha dhahiri? Jamani damu ya mtu huwa haimwagiki bure. Mtalipia tu.
 
Amerudi tena, the more things change the more they remain the same🐼
 
Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu baadhi ambao hawana makosa yoyote huku akishauri kusubiri ripoti kutoka kwa Vyombo vya Usalama na si kutumia matukio haya kisiasa na kuingiza chuki sababu ya watu binafsi.

Amesema "Ripoti haijatoka hajapelekewa Rais, tayari watu wameshaanza fukuza huyu, fukuza huyu, haiwezekani. Wanachosahau Vyama vya Siasa wanadhani wana Serikali yao na Wananchi wao. Ninachoweza kuwaambia ni kwamba hata ninyi mpo uchi, unaweza kuilaumu Serikali kuwa imefanya jambo fulani kumbe hata ninyi ndio mmefanya. Ninachoshauri tu mkileta tuhuma na kutengenza vipeperushi kuwa fukuza huyu, fukuza huyu hata ninyin mpo uchi. Hata ninyi huko ndani kwenye vyama vyenu kuna kamera zinawaona, mawasiliano yenu wanayaona watu. Mnaweza mkatuhumu watu, hizo tuhuma zikageuka. Mie nawatahadharisha na kuwashauri tu."

Aidha, kuhusiana na tukio la Mzee Ali Mohammed Kibao amesema anashauri yeye kama yeye kuwa kwenye uchunguzi mmoja wa Watu wanaotakiwa kusaidia Polisi ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kwa sababu yeye ndio alikuwa mtu wa kwanza kutoa taarifa na kuzisambaza.

Amehoji "Nani aliyempa taarifa kuwa huyo jamaa kuwa kuna watu wanamteka? Huyu aliyempa taarifa Katibu Mkuu naya anaweza akasaidia Vyombo vyetu. Huyo aliyotea taarifa kuwa Mzee Kibao ameuawa naye anaweza akasaidia "

Ameongeza kuwa uchunguzi sio kwasababu ya Serikali tu, kwani inaangaliwa nani ameanza kutoa taarifa, kwenye basi kulikuwa na nani?, aliyewasiliana na Mnyika akiwa kwenye basi ni nani? Amesema hayo ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia kwa sababu Katibu wa Chama amaeanza kutoa taarifa hivyo asaidie.

Amemalizia "Mimi nashauri hapa si kwa nia mbaya, maana mtaanza kunitukana hapa na kunidhalilisha hapa ila ni kwa nia njema"

Amesisitiza "Lazima tulinde hadhi ya Urais, sio kila Mtu anaweza kuongea ongea tu, unamtukana Rais. Nafuatilia rafiki yangu mmoja yupo CHADEMA, siwezi kumtaja jina yeye kila akiamka ni kumtukana Rais tu, anamtukana tu. Na yupo tu wala hakuna mtu anayemjali. Kwenye page yake yeye ni kumtukana tu lakini la kumshukuru Mungu hakuna anayemjali maana inawezekana anataka akamatwe ila watu wamemwacha hakuna naye mjali na sasa ameanza kuchoka. Sio kila kitu anahusika Rais"​
 
Attachments

  • IMG-20240911-WA0019.jpg
    IMG-20240911-WA0019.jpg
    190.7 KB · Views: 5

Hili liumbwa kumbe ni jeupe sana, hata kumsikiliza tu na kumwelezea m.nyika na Chadema wakieleza jinsi walivyofanya taarifa haliwezi kuelewa?
Unabiwa wenye basi wanamfahamu huyo mzee, waliowapigia familia yake, familia ndiyo ikiwajulisha Chadema sasa anasema nini hapo?
 
Huyu Musiba ni msiba kwelikweli, aliyemwambia kuwa Mnyika atakataa kuhojiwa ni nani? ILIMRADI TU AKAHOJIWE MBELE YA TUME HURU YA KIJAJI YA UCHUNGUZI na siyo kwenda kuhojiwa na wauaji haohao.
sasa wewe maombolezo mbona umepanic na unamindi maoni na mtazamo wa wengine ambao ni uhuru na haki ya kila mtu kuijieleza?

halafu na wewe na maoni ya maana kabisa sasa sijui tatizo ni nini hadi uonyeshe mihemko kwenye maoni ya wengine..

kua muungwana gentleman,
jifunze kukubaliana kutofautiana bila mawaa 🐒
 
Back
Top Bottom