MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Huyu mtu yupo kwenye payroll ya wale jamaa wavaa kaunda suti, ni agent wao.Unaweza kuwaza mambo mengi sana juu ya huyu Musiba.
Ameibuka tena kwenye kipindi ambacho watanzania wameanza kuishi kwa hofu kubwa sana juu ya maisha yao.
Huyu huyu Musiba alikuwa ni gumzo kubwa kipindi cha Magufuri.
Swali la kujiuliza ni kwanini Musiba anaibuka kwenye kipindi cha mateso kwa watanzania?
Kwanini anaonekana kufurahia mateso wayapatayo watanzania?
Naomba tujadili wote kama watanzania juu ya huyu mtu anaitwa Musiba.
No, Musiba siyo empty set kama unavyodhani. Huyo anatumika ili kufanya Spinning ili kuvuruga makusudi mijadala mikali ya utekaji Watu na ili kuwatoa Watu kwenye reli wasijadili masuala haya ya utekaji na Mauaji yanayoendelea hapa nchini.Musiba ni empty set kichwani.
Spinning anawafanyia wajinga wenzie sisi wenye IQ zetu tunamuona bwege mtozeni.No, Musiba siyo empty set kama unavyodhani. Huyo anatumika ili kufanya Spinning ili kuvuruga makusudi mijadala mikali ya utekaji Watu na ili kuwatoa Watu kwenye reli wasijadili masuala haya ya utekaji na Mauaji yanayoendelea hapa nchini.
Wewe nawe kweli ni jingalaoYupo sahihi