Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

Sijui hata nani anamsikiliza huyo, Membe angekuwepo asithubutu kusema chochote. Analeta utani kwenye mauaji ya watu yaani hana hata aibu, kwani watu walianza kutekwa juzi. Mungu anakuona Musiba acha utani na unafiki katikati ya majonzi kwa Watanzania wenzio.
 
 

Attachments

  • VID-20240913-WA0028.mp4
    5.3 MB
Huyu ameshalipa pesa anazodaiwa kwa familia ya Membe?
 
Huyu ameshalipa pesa anazodaiwa kwa familia ya Membe?
Ukigundua musiba ana mizizi mirefu ambayp imeenda mbali ndio utajua kwa nn alikua na ile jeuri na bado yuko na hiyo jeuri. Sio membe tu hata fatma karume alifungua kesi ya kumdai mabilioni na mahakama ilitoa hukumu musiba kumlipa Fatma karume bilioni 7.5, Fatma anajua alichokutana nacho.
Ingekua mtu mwingine tu kwanza angekua yupo jela hadi Sasa kwa namna alivyokua akipambana na watu wazito serikalini na chamani, wasingemuacha salama lakini imeshindikana
 
Musiba ushaenza Tena ule mdomo wako wa kusema watu uongo alaf baadae unaanza kuonyesha sura za huruma
 
Hawa machawa wakianza kukujaza upepo ujue kuna anguko lako wanaliandaa sio wa kuwafagilia sana ukishawaleta karbu linakukuta jambo mana huwez kujua ni wakweli au mamluki nafkir wahusika wawe nao makini
I wish waone hili. Mistake kubwa sana kuanza kuwaleta kina Musiba tena. Ni utoto wa hali ya juu, kwa yeyote anayeratibu haya mambo. Huyu huwa analeta chuki kubwa sana kwa wananchi dhidi ya serikali, sidhani kama lengo lao ndio hili. Haleti woga kama ndio wanataka hivyo, bali huleta/ huongeza chuki kwa watu.
 
Kumbukeni Musiba akiongea ni TISS inaongea.

Msijisahaulishe
Hapana. Ni huko kwa Wamasai na Wameru. Tunaongelea 4R, halafu anaibuka tena Musiba! Mara utekaji, kuuawa watu!! Kazi kweli kweli.
 
Kwel tuna watu ng'ombe sana hii nchi ,yaan ww umekaa na kutafakar umeona ndo maswali ya Kuja nayo hayo? Ww kama lilivyo jina lako ni musiba na utaandamwa na misiba kwel kwel
 
Hili linaongea utumbo gani, Mzee alitekwa hadharani halafu yeye anashangaa Mnyika kapataje habari.
Sasa unaliongelea la nn ili ling'ombe la kufugwa musibq'' alimuandika na kimzushia mabaya hayati Membe hatimaye mahakama ikaona amlipe Membe 6 b. Sasa Leo linakuja Tena na ujinga wake ,mtu alitekwa hadharan kweny basi alafu linasema eti mtu wa kwanza kutoa taarifa ni Mnyika, yaan sipendi hili limbuzi
 
Musiba katumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…