nyalujama
JF-Expert Member
- Sep 4, 2020
- 221
- 345
Ametufanya wajita tuonekane watu wa hovyo huyu bwanaYuko analima mahindi huko majita musoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametufanya wajita tuonekane watu wa hovyo huyu bwanaYuko analima mahindi huko majita musoma
wenye chama wamerudi,au atatokea plan B,hata hivyo alisema yy ni mwanaharakati huru,Hana chama!!Anajipanga na uchaguzi ujao
[emoji28][emoji1787][emoji23]wenye chama wamerudi,au atatokea plan B,
Nimemwona akipita mitaa ya msoga kuomba akaombewe msamaha Kwa Membe na Fatma kwani muda aliopewa na mahakama unakaribia ku-expire na Mali anazomiliki hazina thamani ya kutosha kumlipia yeyote! Sijui nimwitishie harambee humu jamvini mmchangie?Huyu mtu ,enzi zile nilikuwa sikosi kupitapita kwenye akaunti yake twitani au channel kumi na Tanzanite TV, kiukweli hata kama niwe nimeboleka au wife kanichanganya, basi nikipita kwa bwana musiba, sikosi kukuta kitu cha kunifanya nipoteza mawazo.
Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media ,alisikika akiomba ndg zake tumuombee kwani anapita kwenye mapito makubwa!!
Mwenye taarifa zake,amejichimbia wapi huyu ndugu yetu!?
ANATAFUTA MABILIONI YA MZEE MEMBE NA FATMA KARUMEHuyu mtu ,enzi zile nilikuwa sikosi kupitapita kwenye akaunti yake twitani au channel kumi na Tanzanite TV, kiukweli hata kama niwe nimeboleka au wife kanichanganya, basi nikipita kwa bwana musiba, sikosi kukuta kitu cha kunifanya nipoteza mawazo.
Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media ,alisikika akiomba ndg zake tumuombee kwani anapita kwenye mapito makubwa!!
Mwenye taarifa zake,amejichimbia wapi huyu ndugu yetu!?
[emoji2400]Ajitokeze na ile listi ya wafanyabihashara ya madawa ya kulevyaSidhani Kuna mtu ana taarifa zake huyo mwehu alijichanganya mwenyewe amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
Unajua hawa watu ndio waliokuwa nje ya system kabisa na miaka yote wamekuwa wanajiita wanaharakati ingawa walisahau kwamba harakati zao za kisiasa walitakiwa kuzifanya wakiwa ndani ya vyama vya siasa Kama wenzao akina Mtatiro, Zitto, Slaa nk.
Sasa ilipotokea fursa ya kupata teuzi za mchongo ambazo alikuwa anazitoa papaa Mobutu Magufuli wakajikuta wanaongeza sifa ili wasikike ingali hawakuwa kwenye mwavuli wa kisiasa.
Hapa utaona kundi la watu Kama polepole ndio likaibuka baada ya kuonja tamu ya madaraka. Hawa watu wakageuka wehu kabisa na musiba alipopata assurance ya backup ndio akazidisha ujinga akisahau kwamba yeye alikuwa nje ya system hivyo Ile system ikiondoka angekuwa yupo nje na hana record yoyote ya utumishi ambayo kidogo wangembeba kwa kutumikia taifa hata kama alikuwa chawa.
Hii ndio inawabeba wenzie akina makonda na polepole Ila yeye atakula za uso na hakina wa kumsaidia labda wanaotaka kujilipizia wamsamehe tu.
Wacha alipe mshahara wa kuropoka hovyo, unagombana na Fatma mjukuu wa Karume hauoni aibu kabisa? Babu Rais, baba Rais na kabisa akaona Fatma ndio size yake kabisa?
Wacha apate malipo ya kimbelembele chake.
Akili zako bn , so baba na babu wakiwa maraisi ndo hatakiwi kukosolewa ? yaan madikteta afrika , tunawalea wenyeweSidhani Kuna mtu ana taarifa zake huyo mwehu alijichanganya mwenyewe amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
Unajua hawa watu ndio waliokuwa nje ya system kabisa na miaka yote wamekuwa wanajiita wanaharakati ingawa walisahau kwamba harakati zao za kisiasa walitakiwa kuzifanya wakiwa ndani ya vyama vya siasa Kama wenzao akina Mtatiro, Zitto, Slaa nk.
Sasa ilipotokea fursa ya kupata teuzi za mchongo ambazo alikuwa anazitoa papaa Mobutu Magufuli wakajikuta wanaongeza sifa ili wasikike ingali hawakuwa kwenye mwavuli wa kisiasa.
Hapa utaona kundi la watu Kama polepole ndio likaibuka baada ya kuonja tamu ya madaraka. Hawa watu wakageuka wehu kabisa na musiba alipopata assurance ya backup ndio akazidisha ujinga akisahau kwamba yeye alikuwa nje ya system hivyo Ile system ikiondoka angekuwa yupo nje na hana record yoyote ya utumishi ambayo kidogo wangembeba kwa kutumikia taifa hata kama alikuwa chawa.
Hii ndio inawabeba wenzie akina makonda na polepole Ila yeye atakula za uso na hakina wa kumsaidia labda wanaotaka kujilipizia wamsamehe tu.
Wacha alipe mshahara wa kuropoka hovyo, unagombana na Fatma mjukuu wa Karume hauoni aibu kabisa? Babu Rais, baba Rais na kabisa akaona Fatma ndio size yake kabisa?
Wacha apate malipo ya kimbelembele chake.
Atakuwa katangaza kufirisika, hataweza kudaiwa tena....Nimemwona akipita mitaa ya msoga kuomba akaombewe msamaha Kwa Membe na Fatma kwani muda aliopewa na mahakama unakaribia ku-expire na Mali anazomiliki hazina thamani ya kutosha kumlipia yeyote! Sijui nimwitishie harambee humu jamvini mmchangie?
Wacha alipe mshahara wa kuropoka hovyo, unagombana na Fatma mjukuu wa Karume hauoni aibu kabisa? Babu Rais, baba Rais na kabisa akaona Fatma ndio size yake kabisa?
Wacha apate malipo ya kimbelembele chake.
Hii inawezekanaje kujitangaza muflisi baada ya hukumu? Ila Kwa bongo hakuna kinachoshindikana!Atakuwa katangaza kufirisika, hataweza kudaiwa tena....
Tena sasa hivi hao ndio watamuua kabisa. Namshauri aanze masomo ya upadri akae zake misheni tu ndio pona yake 😃😃[emoji2400]Ajitokeze na ile listi ya wafanyabihashara ya madawa ya kulevya
Tumia common sense au kama unabisha jaribu na weweAkili zako bn , so baba na babu wakiwa maraisi ndo hatakiwi kukosolewa ? yaan madikteta afrika , tunawalea wenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yupo chato,akihani kabuli la jiwe,anaomba muujiza wa Lazaro utoke