Musiba siku hizi husikiki umejichimbia wapi?

Huyu mtu ,enzi zile nilikuwa sikosi kupitapita kwenye akaunti yake twitani au channel kumi na Tanzanite TV, kiukweli hata kama niwe nimeboleka au wife kanichanganya, basi nikipita kwa bwana musiba, sikosi kukuta kitu cha kunifanya nipoteza mawazo.

Mala ya mwisho ,kuonekana kwenye media ,alisikika akiomba ndg zake tumuombee kwani anapita kwenye mapito makubwa!!

Mwenye taarifa zake,amejichimbia wapi huyu ndugu yetu!?
Nimemwona akipita mitaa ya msoga kuomba akaombewe msamaha Kwa Membe na Fatma kwani muda aliopewa na mahakama unakaribia ku-expire na Mali anazomiliki hazina thamani ya kutosha kumlipia yeyote! Sijui nimwitishie harambee humu jamvini mmchangie?
 
ANATAFUTA MABILIONI YA MZEE MEMBE NA FATMA KARUME
MDOMO ulikiponza Kichwa na Waliokuwa Wanamfadhili hawapo tena wapo kwa MAMA
 
Sidhani Kuna mtu ana taarifa zake huyo mwehu alijichanganya mwenyewe amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Unajua hawa watu ndio waliokuwa nje ya system kabisa na miaka yote wamekuwa wanajiita wanaharakati ingawa walisahau kwamba harakati zao za kisiasa walitakiwa kuzifanya wakiwa ndani ya vyama vya siasa Kama wenzao akina Mtatiro, Zitto, Slaa nk.

Sasa ilipotokea fursa ya kupata teuzi za mchongo ambazo alikuwa anazitoa papaa Mobutu Magufuli wakajikuta wanaongeza sifa ili wasikike ingali hawakuwa kwenye mwavuli wa kisiasa.

Hapa utaona kundi la watu Kama polepole ndio likaibuka baada ya kuonja tamu ya madaraka. Hawa watu wakageuka wehu kabisa na musiba alipopata assurance ya backup ndio akazidisha ujinga akisahau kwamba yeye alikuwa nje ya system hivyo Ile system ikiondoka angekuwa yupo nje na hana record yoyote ya utumishi ambayo kidogo wangembeba kwa kutumikia taifa hata kama alikuwa chawa.

Hii ndio inawabeba wenzie akina makonda na polepole Ila yeye atakula za uso na hakina wa kumsaidia labda wanaotaka kujilipizia wamsamehe tu.

Wacha alipe mshahara wa kuropoka hovyo, unagombana na Fatma mjukuu wa Karume hauoni aibu kabisa? Babu Rais, baba Rais na kabisa akaona Fatma ndio size yake kabisa?

Wacha apate malipo ya kimbelembele chake.
[emoji2400]Ajitokeze na ile listi ya wafanyabihashara ya madawa ya kulevya
 
Akili zako bn , so baba na babu wakiwa maraisi ndo hatakiwi kukosolewa ? yaan madikteta afrika , tunawalea wenyewe
 
Nimemwona akipita mitaa ya msoga kuomba akaombewe msamaha Kwa Membe na Fatma kwani muda aliopewa na mahakama unakaribia ku-expire na Mali anazomiliki hazina thamani ya kutosha kumlipia yeyote! Sijui nimwitishie harambee humu jamvini mmchangie?
Atakuwa katangaza kufirisika, hataweza kudaiwa tena....
 
Wacha alipe mshahara wa kuropoka hovyo, unagombana na Fatma mjukuu wa Karume hauoni aibu kabisa? Babu Rais, baba Rais na kabisa akaona Fatma ndio size yake kabisa?

Wacha apate malipo ya kimbelembele chake.
 
[emoji2400]Ajitokeze na ile listi ya wafanyabihashara ya madawa ya kulevya
Tena sasa hivi hao ndio watamuua kabisa. Namshauri aanze masomo ya upadri akae zake misheni tu ndio pona yake 😃😃
 
Akili zako bn , so baba na babu wakiwa maraisi ndo hatakiwi kukosolewa ? yaan madikteta afrika , tunawalea wenyewe
Tumia common sense au kama unabisha jaribu na wewe
 
Acheni Mungu wa haki aitwe Mungu. Yaani Musiba alivyokuwa anasingizia bila ushahidi na kudhalilisha watu mbele ya kamera huku katoa macho bila kuchukuliwa hatua yoyote leo hii haonekani wala hasikiki mahali popote. Cha ajabu kuna watu leo bado hawajajifunza kwa Musiba, Sabaya na Makonda bado wanafanya upuuzi unaofanana na waliofanya hao jamaa. Jamani hizi tawala zinapita tutende mema hata wakati ukifika hizi tawala hazipo tusiwe na maisha ya kujificha jificha kama ya yalivyo ya Musiba sasa.

Ushauri wangu kwa Musiba popote ulipo jitokeze hadharani uwaombe msamaha kwa dhati ya moyo wako ili Fatuma na Membe wakusamehe kwani wanaonekana ni watu waungwana na walichokuwa wanatafuta ni dunia ijue ukweli na kulinda heshima zao ulizoziharibu kwa kujipendekeza kwa jiwe na kuendekeza njaa zako. Ikitokea wamekataa basi wewe subiri tu hukumu ya mwisho ya mahakama kwani huna mtetezi tena na hata wenye msaada kidogo waliobaki nao hawana jinsi zaidi ya kula kona na kukuacha mwenyewe. Pole sana kwani mwanakulitafuta mwanakulipata.
 
Back
Top Bottom