Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

sipingi mawazo yako. mbona kama lawama zinaenda kwa mond . mbona wasanii wakubwa tz wapo wengi tu. si lazima afanye mond peke yake,
Tunamuandama maana yeye ndo icon au mwakilishi mkubwa wa muziki wetu.
 
Watu wakiwekeza kwenu mkishatoboa mnasahau mnaanza kiwavimbia, Harmonize alisahau kabisa kuwa watu waliwekeza kwake, Hakuna msaada kuna uwekezaji mlijue hilo kwanza.
Si ndo uwekezaji namaanisha.
Harmonize kalipiza alofanyiwa wcb, wewe unahisi kwanini walikimbia
 
Si ndo uwekezaji namaanisha.
Harmonize kalipiza alofanyiwa wcb, wewe unahisi kwanini walikimbia
Harmonize watu walifanya uwekezaji kwake, yeye alijua ni msaada tu. Watu waanza kuvuna kutoka kwake, yeye anaanza kiwavimbia.
 
Harmonize watu walifanya uwekezaji kwake, yeye alijua ni msaada tu. Watu waanza kuvuna kutoka kwake, yeye anaanza kiwavimbia.
Sijui mengi kuhusu kilicho jiri wasafi, ila nacho jua msanii hawezi kukimbia record label kama kuna manufaa anayapata. Kina nicki minaj mpk leo wapo young money ya lil Wayne kwanini? Kuna manufaiko both sides sio wcb wanaangalia matumbo yao na kunyonya wasanii
 
wcb wanaangalia matumbo yao na kunyonya wasanii
Hapa ndio shida ilipo, wakati watu wanakula matunda ya uwekezaji wao wengine ndio wanaona unyonyaji, wamesahau kua watu waliwekeza nadio maana wakajulikana.
 
Hapa ndio shida ilipo, wakati watu wanakula matunda ya uwekezaji wao wengine ndio wanaona unyonyaji, wamesahau kua watu waliwekeza nadio maana wakajulikana.
Mbona ume quote kipande hicho tu mkuu? Nimekueleza sababu za wasanii kukimbia, mimi sawala la sijui waliwekeza sijui vizuri nacho angalia ni kwanini wakimbie. Kwani nia ya kuwekeza ni nini? Si msanii atambulike? Haya akitambulika ndo mumbanie asiwazidi?
 
Nia ya kuwekeza ni kutegenea kurudisha hele yako na faida.
Basi mkuu tuishie hapo. Wewe unatoka kabisa kwenye point. Unaqoute vipande alafu unataka tuendelee kubishania vipande ambavyo umevi quote.
 
Wanambania vip ?,wakati mtu anategemea faida kutoka kwake.

kumbe na ww ni mswahili ina maana Ibrah Konde anabaniwa..... Ndio maana nilikuambia AY,Ommy na FA hawapendi haya maneno ya kwenu ndio maana hela zao wameamua kufanyia mengine. Sometimes bora ile hela ya Harmo angeenda kulia bata au hata kuizunguka dunia apate exposure kama mwenzake Ommy.

Halafu ndio unataka mwenzako aendelee kula hasara ukiuliza vipi game INAMTEGEMEA,utazani kuna sehemu anaokota hizo hela.Yaani unataka kufanya Game liwe sehemu ya familia yake utazani msanii yy peke yake.
 
Yaani unafanaisha ulaya na bongo, ambapo huo mziki wenyewe still bado watu wanahangaika kuujenga ktk misingi ya kibiashara.
 
Yaani unafanaisha ulaya na bongo, ambapo huo mziki wenyewe still bado watu wanahangaika kuujenga ktk misingi ya kibiashara.
Sija fananisha nimetolea mfano, kingine umesema mziki bado unajengwa? Nakataa wasanii wengi bongo wanajulikana internationally so sikubakiani na wewe. Biashara ipo wazi ni hivyo tu kujiona kwingi.
 
Skia mkuu, piont yako ya kusema kwamba sijui mtu anaona kuwekeza hakuto mletea faida imetokana na kile toulodiscuss mwanzo wivu wa maendeleo ndo hicho nilicho mwambia jamaa hapo juu, sasa yeye akaleta inshu za kuwekeza ma mrejesho wa uwekezaji, hiyo sio point, point ni jinsi msanii anavyopushiwa na record label.
 
Sija fananisha nimetolea mfano, kingine umesema mziki bado unajengwa? Nakataa wasanii wengi bongo wanajulikana internationally so sikubakiani na wewe. Biashara ipo wazi ni hivyo tu kujiona kwingi.
Ipo wazi wapi US mziki ukipigwa kwenye radio,TV na sehemu za Starehe unalipwa ,kwenu huku mnafanya hivyo ma je system ipo transparent?Unafananisha industry ambayo ina njia nyingi za kuingiza hela na hii ya kwenu ya kuungaunga.
 
We jamaa inaonekana una chuki tu binafsi kwa mtu anaetulia na kusoma maelezo yako vizur
 
Hamna label inayofanya hivyo duniani hamna sio Charity label zote zinaangalia faida.

Hamna mwekezaji atamuonea wivu mtu anaye ingimuingizia hela hayupo.Sema hivi vimaneno vya waswahili,msanii akishaanza kung'aa ndivyo vinawafanya wengi wanye mioyo ya kuanzisha label kuachana nayo.
 
Kuhusu “ ushindani” Mkuu nikuulize
Tuchukulie mfano wa biashara ya mtandao wa simu…
Unaona kuna ushindani..? Yaani unaamini tigo anashindana na voda, artel, halotel na ttcl ..? Au voda anashindana na hao wengine …?

Ukifikira the way soko lilivyokaa kuna ushindani kweli..? Nani ana vifurushi na huduma zake ni bora kuliko mwenzake…?

Bila shaka maoni yyte utakoyatoa ni base on preference zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…