Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing happened BAK i have just growned up na pia i feel the music world have become more complex sio kama zamani wakiimbia very simple! Ha ha ha....Please share G, what happened?
Umenikumbusha utoto...primary ilikuwa fashion kuwa na daftari la miziki popular hasa hits za RnB Toni braxton,Monica,Brandy,Backstreet boys,Savage Garden,Elton John,Celine dion n.k...tukiandika verses na chorus zote...halafu tukipokezana kukopi lol....i miss those fun and clueless days...All i had to worry was me!! 🙂 🙂
Nothing happened BAK i have just growned up na pia i feel the music world have become more complex sio kama zamani wakiimbia very simple! Ha ha ha....
Hizi enzi wengi tumezipitia sana, na ukishaandika nyimbo ambayo iko kwenye chart basi kila mtu darasani anakufuata kukuomba naye aandike...... Nasikia una lyrics za nyimbo ya backstreet boys naomba nami niandike lakini sina muda nitarudisha kesho...lol! Hahahahaha utoto raha sana aisee hawa watoto wa siku hizi kwenye ma nchi ya watu wala hawahitaji kuandika wenyewe wanasikia mara moja tu ameshakamata lyrics zote utadhani alitunga yeye. Halafu raha ya nyimbo za wakati ule zilikuwa hazina foul language kama siku hizi mara tu f u na B word mpaka imekuwa shidaaaaaa.
huwa nawakubali sana mkuu BAK na Belinda Jacob kiukweli mnajua mambo mengi ya best music hits kuanzia flash back mpaka za sasa.alafu mko humble sana.!!