Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

Stavros Myles

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
350
Reaction score
390
Gwala kwa wana Jf wote, naamini bado tunaendelea kupambana na maisha.

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nyimbo nyingi kutoka Afrika Magharibi zinaandaliwa kwa ubora mkubwa ingawa zipo ambazo zinakuwa mbovu (chache saaaana πŸ˜‚).

Kama mdau wa muziki ninaweza kuwatajia nyimbo chache zilizo na beat nzito nzito na zenye vibe mno. Beat hizi zinatoa zaidi ya burudani ukiachana na lyrics za watu wa west Africa.

Hii ni list ya nyimbo ambazo ziko na beat kali πŸ”…

1. Monalisa - Sarz ft Lojay
2. Kilometre - Burnaboy
3. Savage & Victony - Rosemary
4. Savara - KILLEM EVERYDAY
5. Mr Eazi - Thanks
6. Ruger - Bounce
7. Omah Lay - Undestand.

Na wewe unaweza kuongeza list ya nyimbo unazozifahamu. Music is everywhere ♻️

List inaendelea , hii inategemea na kifaa /spika unazotumia usijaribu kama una spika mbovu utaaibika
 
Cookie naomba msaada wa kubadili heading hapo juu neno "Nyumbo" liwe "Nyimbo". Natanguliza shukrani kwa kulitendea kazi ombi langu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Rema - Bounce
Reekado Banks - Options
 
Tekno - Pana, hii beat niliishuhudia Decomposition yake iliyofanywa na Krizbeats mwenyewe aisee mambo yalikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
1.Mayorkun ft Victony Holy Father
2. Mayorkun Back in the office
3. Davido ft Ckay Lala
4. Adenkule Gold AG baby
 
Wale jamaa wametuacha mbali sana wabongo kwenye hii sekta aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…