Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

Percy, 🎧 plug earphone/headphone alafu 'download' moja kati ya nyimbo hapo juu uburudike. Ila usikae na hizo headphone kwa zaidi ya dk 15 utaaribu masikio.
 
Tekno - Pana, hii beat niliishuhudia Decomposition yake iliyofanywa na Krizbeats mwenyewe aisee mambo yalikuwa 🔥🔥🔥
Hii beat ya dunia hii..Halafu kuna kajamaa flan ka hapa bongo kakajakuisample kakampa Romy Jones baraka na Ruby Bora Iwe😂😂😂😂
 
Wala jamaa wanatengeneza beat zimetulia sana na hazina makorokocho mengi yaan mavibamwagizo....
 
fireboy DML ft Wande - Spell
( Hapa beat na Vibe ni 🔥🔥🔥🔥)
 
Back
Top Bottom