Music Package: Nyimbo za Afrika Magharibi zenye beat zenye ujazo mzito

Percy, 🎧 plug earphone/headphone alafu 'download' moja kati ya nyimbo hapo juu uburudike. Ila usikae na hizo headphone kwa zaidi ya dk 15 utaaribu masikio.
 
Tekno - Pana, hii beat niliishuhudia Decomposition yake iliyofanywa na Krizbeats mwenyewe aisee mambo yalikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hii beat ya dunia hii..Halafu kuna kajamaa flan ka hapa bongo kakajakuisample kakampa Romy Jones baraka na Ruby Bora IweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wala jamaa wanatengeneza beat zimetulia sana na hazina makorokocho mengi yaan mavibamwagizo....
 
fireboy DML ft Wande - Spell
( Hapa beat na Vibe ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯)
 
Victony Kolomental (Original na Accoustic) πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…