Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Perfect Combo, producer ni RKay ni jamaa mmoja kutoka Kenya, yupo kwenye Industry kwa muda mrefu sasa, na anafanya vizuri pia
Rkay ni shida yule jamaa anatokea Rwanda lakini anaishi kenya. Anajua kutumia vyomba kuanzia ngoma guitrr keyboard trumpet sio kama producers wetu.
Katengeneza ngoma nyingi heats huyu jamaa
 
Aje ni mkono wa Abydady...
Kiukweli ngoma nyingi quality ni mbovu, mi naona angalau miaka ya 2000 enzi za akina Pfunk, Mika, Bizman, Mwamba, Said Comoriely na wengine ubora ulikuwa unaridhisha tofauti na sasa!!
 
Kwangu mimi man maji aka mikamwamba na tuddy ndio bora kwa muda wote
 

Wewe unachanganya beat making na mastering, ni vitu viwili tofauti.
 
Aje ni mkono wa Abydady...
Kiukweli ngoma nyingi quality ni mbovu, mi naona angalau miaka ya 2000 enzi za akina Pfunk, Mika, Bizman, Mwamba, Said Comoriely na wengine ubora ulikuwa unaridhisha tofauti na sasa!!

Nakuunga mkono Mkuu. Ukisikiliza beat za zamani ingawa zilikuwa sub-standard lakini zilikuwa na taste. Siku hizi mmh ...
 
Rkay ni shida yule jamaa anatokea Rwanda lakini anaishi kenya. Anajua kutumia vyomba kuanzia ngoma guitrr keyboard trumpet sio kama producers wetu.
Katengeneza ngoma nyingi heats huyu jamaa

Mmeambiwa Bongo fleva. Nyie ndio huwa mnafeli mtihani kwa kuvamia maswali bila kusoma maelekezo.
 
Yule producer wa SEI Records ni nani vile???
Jamaa huwa namuelewa sana kwa beats zake hatari...ingawa hatrend sana ila anaweza!

Tukizungumzia the real legendary producers hapa bongo huwezi acha hivi vichwa.
1.P Funk Majani na baadhi waliofanyia kazi ofisi yake!
2.Roy (R.i.p)
3.Mika Mwamba

Halafu ndio watafuata wengine, binafsi Master J anajitahidi ila namuona kama anaotea otea coz kuna baadhi ya kazi huwa anazilipua zingine nzuri. Fuatilia beats za Mr.Nice ndio utanielewa vyema!
 
Majani ni number 1 wangu hata kama hatengenezi muziki kwa sasa sijaona wakumfikia kidogooooo nahreal .....
 
Hii thread imenikumbusha kua nimezeeka sasa duh maana ambao mimi nawajua kua ndio wapishi wakali wote hawapo..... Uwiiiiii uzee ni shida.
 
AM rekodi waliotengeneza wimbo wa Jux - Wivu ni wa wapi ?
 
Hao mi kwa kweli hawajawai kunishawishi mi kwangu producers wakali wa mda wote hata Kama hawafanyi mziki kwa sasa.
1. P funk
2. Mika mwamba
3. Master J
4. Roy
6 Enrico
7 Marco chali
8. Ludigo
9. Kameta
10. Comorien.
Na wengineo wazamani....
 
wanajitahidi sana wengi wao.. tatizo sugu ni kwality ya music..
inaonesha watu wa mixing hawako makini kidogo.
nyimbo mpya ya roma verse mbili za mwisho hazina kabisa ubora...
ukitaka kujua ni ubora gani fanya haya yafuatayo...
download wimbo 'wrecking ball(acoustic)' wa miley cyrus.. then uusikize kwenye earphones za uhakika.. do utajua ubora upi naouzungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…