Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Ok wamesomea wapi navojua producer mkali ni yule mwenye elimu ya sound engineering swali kwako mleta mada je hao uliotaja wana hata certificate ya sound engineering?
 
Beat zao wanazozitengeneza kali lkn mpaka sasa hamna beat kali itakayo izidi NIKUSAIDIEJE ya Prof jay na MIKASI ya ngwea, majani alikuwa hatari.
Umewahi kuisikiliza beat ta Ndani ya Club, ama Mi na Mabinti Damdamu ama Girlfriend?
 
Tanzania producers hawawezi hata kutengeneza remix cheki remix hizi za watu wenye kuelewa mziki ni nini I took a pill in ibiza(seeb remix) Hymm for the weekend(seeb remix) EDM ni hatari...
 
Kama Tudd Thomas hayumo kwenye list basi zima.Uzi ushakosa maana
 
Ok wamesomea wapi navojua producer mkali ni yule mwenye elimu ya sound engineering swali kwako mleta mada je hao uliotaja wana hata certificate ya sound engineering?
NAH REEL NDO KASOMEA SHAHADA YA COMPUTURE SCIENCE NCHINI INDIA
 
my best beat ni ya usiulize kutoka kwa nick dizo
 
NAH REEL -WEUSI,NANA YA DIAMOND,NAVY KENZO,ZIGO YA AY,RIDHIWAN YA IZZO NK
 
Beat zao wanazozitengeneza kali lkn mpaka sasa hamna beat kali itakayo izidi NIKUSAIDIEJE ya Prof jay na MIKASI ya ngwea, majani alikuwa hatari.
Well said mkuu[emoji122] [emoji122] mikas ilikuwa kali
 
Kwangu greatest of all time kwenye beat ni ta Mika Mwamba aliyompa Inspector Haroon free boat yaani mtito wa geti kali.

Ike ngona ni shida...
Boat[emoji735] beat[emoji736]
Mtito[emoji735] mtoto[emoji736]
 
Aje ni mkono wa Abydady...
Kiukweli ngoma nyingi quality ni mbovu, mi naona angalau miaka ya 2000 enzi za akina Pfunk, Mika, Bizman, Mwamba, Said Comoriely na wengine ubora ulikuwa unaridhisha tofauti na sasa!!
Umeongea kweli mkuu na ndo mana ikipigwa nyimbo ya zamani na ya sasa lazima utainuka kuicheza ya zamani
 
wanajitahidi sana wengi wao.. tatizo sugu ni kwality ya music..
inaonesha watu wa mixing hawako makini kidogo.
nyimbo mpya ya roma verse mbili za mwisho hazina kabisa ubora...
ukitaka kujua ni ubora gani fanya haya yafuatayo...
download wimbo 'wrecking ball(acoustic)' wa miley cyrus.. then uusikize kwenye earphones za uhakika.. do utajua ubora upi naouzungumzia
kwanini earphones na sio sound system
 
kwanini earphones na sio sound system
Earphone ni rahisi kusikiza kila kitu.. music system yenye quality nzuri ya kukuwezesha kukupatia kila kitu kama earphones ni ghali,kidogo then si kitu rahisi na cha haraka kukitumia km earphones
 
Back
Top Bottom