Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Music producers wakali kwenye bongo fleva kwa sasa

Naombeni plug za vocal na za instruments, nimeharibu external na ilikua na kila kitu changu cha studio, so hata akipatikana mtaalam wa kurecover data kwny hd isiyozunguka na kuishia kwenye ku load driver tuu. Napatikana SLUMS MUSIC RECORDING STUDIO, KINONDONI STUDIO, Kwa No 0714410171, karibuni tubadilishane mautundu zsidi.



 
1. Nah Reel
2. Mr. T Touch
3. Mensen Selector
 
P. Funk & Nah Reel baaaas...waliobaki hovyo kabisa. Very poor audio mixing and/or mastering (Music Quality)
 
bombadia ni nyimbo mbaya sana ila kwanini inapendwa?....touch mtu mbaya
 
Producer aliye ma elimu ya sound engeenearing ni hammy b kutoka b hits
 
Back
Top Bottom