Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi.
Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa.
Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia zaidi kutuunganisha wale watengenezaji wa muziki, na kubeana mbinu mpya za utengenezaji muziki.