Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Karibu mkuu.. Unatumia software gani katika music production?Tumekaribia,
Karibu mkuu.Tupo
Tupo
Mnatengeneza aina gani za muziki?Tumekaribia,
Mimi natengeneza Gospel mkuu..Mnatengeneza aina gani za muziki?
Safi mkuu, Mimi nipo upande wa FL Studio pekee ingawa natamani nijifunze software nyingine kama Ableton na Cubase.Mimi natengeneza Gospel mkuu..
Natumia cubase na FL
Miaka 4 mkuuSafi mkuu, Mimi nipo upande wa FL Studio pekee ingawa natamani nijifunze software nyingine kama Ableton na Cubase.
Upo kwenye fani kwa miaka mingapi sasa?!
Hongera mkuu, ulijifunza mwenyewe muziki ama ulipata mtu wa kukufundisha?Miaka 4 mkuu
Natumia Cubase 10.5 na FL Studio 20.7 mkuuKaribu mkuu.. Unatumia software gani katika music production?
mkuu hivi cubase 5 ina mb ngapi?Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi.
Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa.
Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia zaidi kutuunganisha wale watengenezaji wa muziki, na kubeana mbinu mpya za utengenezaji muziki.
Cubase size yake ni kama 700MB mpaka 1GB ingawa ninakushauri utumie FL Studio kwa sababu imekaa vyema zaidi na ni rahisi kuizoea hata kama ni mgeni.mkuu hivi cubase 5 ina mb ngapi?
Mimi huwa nafanya editing za VO kwa kutumia audacity ila nataka nihamie huko maana nilipna jamaa anacheza nayo nikahisi ni rahisi kupata plugins za maana huko
Fl kwa vocal?Cubase size yake ni kama 700MB mpaka 1GB ingawa ninakushauri utumie FL Studio kwa sababu imekaa vyema zaidi na ni rahisi kuizoea hata kama ni mgeni.
Yes, inarekodi vocal na unafaya mixing humo humo.Fl kwa vocal?