Musichana Murembo kama nini........!

Musichana Murembo kama nini........!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421
Jamani leo nimemkumbuka Daudi Kabaka, enzi hizo ndio nilikuwa namchumbia mama Ngina wangu………………..

Hebu sikiliza huu wimbo basi……………………..LOL

Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha, hata Ng'ambo ukaenda ukarudi

Tara tata tara tata tarata tarattraaaaaaaaaaa………………. X 2

Musichana wa urembo kama weweee, uonyesheee mapenzi kwa vijana
Ukionyesha majivuno kwa vijanaaa utazeeka ukiwa nyumbani kwenu

Oooh baby

Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka

Oooh baby.............

Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka

Tala talaaa tili li liiiiiiiiii Tala talaaa tili li liiiiiiiiii x 3

Pengine tabia zako ndizo mbaya, awali kweli dada ulijivuna
Kwanza mimi nilitaka nikuoee, ukaringa hadithi na masomo

Oooh baby.............

Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika

Oooh baby...........

Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika

Tara tat ta ta tat a ta t taaaaaaaaaaa x 4

Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha hata ng'ambo ukaenda ukarudiiiiiiii

****Nawatakieni weekend njema..............................****
 
Ujumbe umefika mkuu. I like the song.
 
kweli song hili ni balaa tara tara traa taraaa..
 
Hahah Mtambuzi so ukiwa murembo na kuonyesha mapenzi kwa vijana, unaolewa?! Kabaka bwana

Aksante Mtambuzi
 
Kwahiyo Mama Ngina baada ya kusikia huu wimbo akaogopa kuwa asije akazeekea nyumbani!
 
Kwahiyo Mama Ngina baada ya kusikia huu wimbo akaogopa kuwa asije akazeekea nyumbani!

Yeah... Zamani sie tulikuwa tunatumia nyimbo kutongozea banaaa..........................
 
Sijambo Mtambuzi, na wanangu wote hawajambo. Ukitaka na mwingine we sema tu nakumuvuzishia.
 
Back
Top Bottom