Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Kwa mujibu wa pew research center 41% ya Muslims wa tanzagiza wanasapoti sharia au wangependa sharia iwe sheria ya nchi vs 39 % ya Christians wangependa Biblia iwe sheria mama ya nchi i.e tuishi kwa kufuata Biblia amri 10 za Mungu ziwe supreme, kulinganisna na muslims wa kwingineko bado hali siyo mbaya sana mf. muslims wa nigeria ni 71%, afghanistan, 84% pakistani.
Hivyo wanaoharibu Tanzaniza ni Zanzibar, matatizo yote ya Islam yanatokea Zanzibar kuanzia uamsho, al kaida mpaka al shabaab yote chimbuko ni zanzibar.
Muslims wa kwetu wengi wao wanapenda tu kusihi maisha yao na hawana shida na mtu, kwanza nina wajua musllims wengi nimekuwa nao sijawahi kuwaona hata siku moja wakivaa hijab, shuleni hakukuwa hata na msichana mmoja aliyevaa hijab sasa hivi hijab kama zote mpaka ikulu na bungeni hata kwa watoto wadogo kama Zanzibar,
Muslims wa tanzagiza wanafunga mifungo yao hawana shida na wewe kama haujafunga ukiachia kukuita tu kobe ambayo ni harmless hata hivyo hawakulazimishi wala kukupangia, hijab bara imeanza kushika kasi juzi juzi tu na hii yote ni sababu ya zanzibar, zanziabr ndiyo wanaotuharibia nchi yetu, mafisadi wote asili yao zanzibar, wakatili wote wanaoua watu asili yao zanzibar, wanaochoma moto masoko yetu na kubomoa miji yetu yenye majengo ya kihistoria na kuharibu historia yetu ni wazanzibari, wanaouza rasilimali za nchi yetu asili yao zanzibar, wanaoleta nepotism ni wanzanzibari sasa wameletea somalia tanzagiza wanazidi kutuangamiza.
99% ya wasomali wanasapoti islamic sharia wanataka kuishi kwa kufuata islamic sharia hawa ndiyo wanaowawekea red carpet kwenye nchi yetu, sasa hivi Somalia wameondolewa vikwazo vyote kuingia, kutoka kuishi tanzagiza watakavyo, swali ni kwamba why somalia of the the countries?
Hatuna mpaka na Somalia sisi, Kenya wanaleta matatizo makubwa sana lakini Kenya hawana jinsi kwa maana ni sehemu ya nchi wao lakini kwa nini wawelete kwetu? jibu ni Zanzibar ..
...