Musoma mtabadilika lini?

Musoma mtabadilika lini?

Musoma hakufai na ndo kunatoka watu wabishi zaidi na wasiopenda kubishishiwa kwa facts, ubishi wa arsenal vs man u ,unaweza kukupotezea viungo vya mwili. Nimesema na hawana la kunifanya kwa sababu ni watan wangu. [HASHTAG]#Adui[/HASHTAG] namba moja wa Mkurya ni mmasai ,hii hufundishwa kabisa
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Huko kwa wagumu iwe mwanaume au mwanamke acha kuleta umbea wako we kama ulitoka huko kwenu ili ukifika use maarufu pole sana
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !
Yaani karne hii bado tu pana watu wanawaza NEGATIVELY kama hivi .... Don't you have something POSITIVE & PRODUCTIVE to do instead of WASTING YOUR PRECIOUS TIME ....
 
Kweli kabisa yapo kote inawezekana mtoa mada hajawahi ishi mikoa mingine kwa hivyo asilaumiwe sana.
Ana lake jambo na watu wa musoma huyo ... by the way pana watu husambaza tu msg mradi aione mahali .... the same msg anayo rafiki yangu ... but yenyewe yamaanisha mji wa njombe ...
 
Yaani we acha tu! Nimebaki na machata mpaka jeshi wanikataa wakihisi rijambazi ila nashkuru life Good kwa watu natamani waje huku na Fuso sijui watabeba kipi waaache kipi? Maana vyote vizuri
Nami nielekeze njia nitokeje mana naona mwenzetu ushatoka aseeee
 
Mkuu hapa umesemea watu wa mara na makabila yote yanayopatikana humo ama ni wajita pekee!! maana naona sifa kalibia zote ni za wajita!!!

Hata hivo kuna sms waga zinatembea kwenye ma-groups na simu yanayoelezea sehemu, nchi, mikoa na hata wilaya husika sasa yawezekana na wewe umeona sehemu bila kufanya utafiti ukaruka nayo!!
 
Yaani we acha tu! Nimebaki na machata mpaka jeshi wanikataa wakihisi rijambazi ila nashkuru life Good kwa watu natamani waje huku na Fuso sijui watabeba kipi waaache kipi? Maana vyote vizuri
Wewe sio mtu wa mkoa wa ma
Si mwandiko wala rafudhi



Hata umbo lako ,
 
Nadhani umesahau tusi moja bi kaka Heci raisi wako wa 1 na baba wa taifa lako ni mzawa wa mara pia!. hata mkuu wa kwanza wa jwtz. basi huu mkoa sijui utakuwa wa wajinga kiasi gani hadi tushike sekta zote nyeti kwa kipindi kile bibie!.
 
KARIBU MUSOMA MJI WENYE UTAJIRI WA MAJUNGU !!!
Mji Wenye Wivu
Mji Wenye Baraka Ya Uongo
Kijiji Chenye Kiu Ya Umbea
Kijiji Cha Unafiki!
Ukipata Freemason
Ukifulia Wanakucheka
Ukiwaomba Hawakujui,
Ukinenepa Ana Mimba
Ukikonda Ana Ngoma,
Ukiondoka kwenda kujitafutia kakimbia.
Ukikaa tu hana raman
Ukisimama Na mtu Dk 5 mnatongozana Hata Kama Ni Kaka Yako
Ukivaa Vizuri Sharo!
UNABISHA?? HEBU WATUMIE WAKAZI WA mkoa wa mara WAKUTHIBITISHIE !

Siku zingine uwe na adabu na tambua ya kwamba huo Mkoa ndiyo umekuletea Wewe na Ukoo wako wote Uhuru unaotamba nao sasa na usisahau kwamba bila ' Wanamume ' wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) ambao wanapatikana kwa wingi mno katika Vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama leo hii usingekuwa unajivunia hii amani na huu utulivu uliopo. Tena nakuomba utuombe radhi haraka sana kwani hizo Sifa zote mbaya ulizotutajia hapo hazipo Mkoani Mara ( Musoma ) na nadhani kuna ' Kitu ' unakitafuta kutoka kwa Wenyeji Sisi wa Mara ( Musoma ) ambacho utakipata muda si mrefu. Yaani katika Mikoa yote 31 ya sasa ya Tanzania umeuona tu Mkoa wa Mara ndiyo una hayo matatizo? Kama Wewe ni Mtani wetu Mhaya au Muha au Mnyiramba na mwenzake Mnyaturu au Mrangi sawa ' madongo ' yako tumeyakubali ila kama hutoki katika hayo Makabila tajwa ya Watani zetu wakubwa na halisia nakupa dakika 5 tu kutoka sasa utuombe msamaha kwa Kutukashifu na Kutudhalilisha.
 
Back
Top Bottom