Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hebu weka ushahidi...Huko kwenu Shinyanga fisi zinafukua makaburi. Kwanini huko tu?.
Hebu weka ushahidi...Huko kwenu Shinyanga fisi zinafukua makaburi. Kwanini huko tu?.
Hapoowazazzzi na wlimuwpooMkuu wa wilaya ya Musoma, Vicent Naano ametoa wiki moja kwa wananchi wa kijiji Kakisheri kata ya Nyakatende wilaya ya Musoma Vijijini wanaojihusisha na matukio ya kishirikina kuacha vitendo hivyo haraka na endapo vitandelea basi atafunga shule na kuwahamisha walimu wa Shule ya Msingi Kambarage.
Shule hiyo imekuwa ikikabiliwa na matukio yasiyo ya kawaida ikiwemo walimu kuingiliwa kimwili nyakati za usiku, kulazwa nje na wanafunzi kudondoka ovyo na kupiga kelele.
DC Naano ametoa maagizo hayo baada ya kutokea kwa tukio la wanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo kuanguka na kupiga kelele, kukuta chakula aina ya makande kikiwa kimewekwa chooni hali iliyowalazimu walimu, wazazi na wanafunzi kupiga kura ili kubaini anayefanya matukio hayo kwa imani ya kishirikina.
IPP
Hivi Ile kampuni ya mabasi ya Bukwaya ipo?Hao Waruri na Wakwaya shida sana!
Dawa ya Moto ni Moto. Kwenye uchawi peleka waganga Moto uwake hapo hali iwe shwari,Mila juu ya MilaHilo eneo hakuna watumishi wa Mungu?
Mbona kazi ndogo,watumishi wa Mungu ,waombaji waungane wakapige kazi kwenye hilo eneo km huo uchawi utaendelea!
JESUS IS LORD[emoji120]
Huko itakua kwenye vijiji vya Nyamswa au Ikizu, Kuna wachawi sana huko hasa kabila la wazanaki....Mkuu wa wilaya ya Musoma, Vicent Naano ametoa wiki moja kwa wananchi wa kijiji Kakisheri kata ya Nyakatende wilaya ya Musoma Vijijini wanaojihusisha na matukio ya kishirikina kuacha vitendo hivyo haraka na endapo vitandelea basi atafunga shule na kuwahamisha walimu wa Shule ya Msingi Kambarage.
Shule hiyo imekuwa ikikabiliwa na matukio yasiyo ya kawaida ikiwemo walimu kuingiliwa kimwili nyakati za usiku, kulazwa nje na wanafunzi kudondoka ovyo na kupiga kelele.
DC Naano ametoa maagizo hayo baada ya kutokea kwa tukio la wanafunzi wa darasa la saba katika shule hiyo kuanguka na kupiga kelele, kukuta chakula aina ya makande kikiwa kimewekwa chooni hali iliyowalazimu walimu, wazazi na wanafunzi kupiga kura ili kubaini anayefanya matukio hayo kwa imani ya kishirikina.
IPP
Hivyo vituko vilikuwepo miaka ya 1980s had 1990s, walimu wengi amabao hawakuwa wenyeji wa huko, walifanyiwa vituko sana. Na ikawa waanaomba kuhama. N a nifyo sababu ya shule za huk kutofanya vizuri kitalumaNa ndio maana maendeleo hawana. Wakiacha tabia hizo za ushirikina wataona mabadiliko makubwa ya maendeleo kwenye vijiji hivyo!
Hivyo vituko vilikuwepo miaka ya 1980s had 1990s, walimu wengi amabao hawakuwa wenyeji wa huko, walifanyiwa vituko sana. Na ikawa waanaomba kuhama. N a nifyo sababu ya shule za huk kutofanya vizuri kitaluma