Musoma: Shule yanusurika kufungwa kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kishirikina

Hapoowazazzzi na wlimuwpoo
 
Hilo eneo hakuna watumishi wa Mungu?
Mbona kazi ndogo,watumishi wa Mungu ,waombaji waungane wakapige kazi kwenye hilo eneo km huo uchawi utaendelea!

JESUS IS LORD[emoji120]
Dawa ya Moto ni Moto. Kwenye uchawi peleka waganga Moto uwake hapo hali iwe shwari,Mila juu ya Mila
 
Huko itakua kwenye vijiji vya Nyamswa au Ikizu, Kuna wachawi sana huko hasa kabila la wazanaki....
 
Niliwahi kupitia mafunzo fulani ya uchawi, nikaambiwa kwamba uchawi ni kile unachoamini katika kichwa chako.

Hata ukiamini kwamba jiwe lina uwezo wa kuleta madhara kwa mtu mwingine, unaweza ukaliomba lifanye hivyo na kweli ikawa hivyo.

Nature can do anything you want it to do for you IF YOU BELIEVE IT.

Kwahivyo uchawi ni mambo ya kufikirika tu.
 
Na ndio maana maendeleo hawana. Wakiacha tabia hizo za ushirikina wataona mabadiliko makubwa ya maendeleo kwenye vijiji hivyo!
Hivyo vituko vilikuwepo miaka ya 1980s had 1990s, walimu wengi amabao hawakuwa wenyeji wa huko, walifanyiwa vituko sana. Na ikawa waanaomba kuhama. N a nifyo sababu ya shule za huk kutofanya vizuri kitaluma
 
Hivyo vituko vilikuwepo miaka ya 1980s had 1990s, walimu wengi amabao hawakuwa wenyeji wa huko, walifanyiwa vituko sana. Na ikawa waanaomba kuhama. N a nifyo sababu ya shule za huk kutofanya vizuri kitaluma

Ni kweli kabisa mkuu!, sijui wataacha lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…