redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 5,813 Reaction score 12,921 Mar 13, 2023 #21 SAYVILLE said: Hii ya mtoto wa miaka 8 kweli, kabisa hadi Rais wa Club akaacha shughuli zake kuhudhuria? Wachezaji wangekuwa wanaitisha press conference kila wakiandikiwa barua na kupewa zawadi na mashabiki wao, wasingepata hata muda wa kucheza. Click to expand... Simba wanavyo tuzo Yao ya Aluminium ata kama ujacheza unapewa, Ata Dilunga Alisha pewa.
SAYVILLE said: Hii ya mtoto wa miaka 8 kweli, kabisa hadi Rais wa Club akaacha shughuli zake kuhudhuria? Wachezaji wangekuwa wanaitisha press conference kila wakiandikiwa barua na kupewa zawadi na mashabiki wao, wasingepata hata muda wa kucheza. Click to expand... Simba wanavyo tuzo Yao ya Aluminium ata kama ujacheza unapewa, Ata Dilunga Alisha pewa.
Little brain JF-Expert Member Joined Oct 31, 2020 Posts 4,282 Reaction score 6,303 Mar 13, 2023 #22 Hongera Kenedy Musonda tuzo nyingi zitakufuata hapo jangwani. NB. Yanga ni moja ya timu chache Afrika zenye mahusiano na LALIGA.
Hongera Kenedy Musonda tuzo nyingi zitakufuata hapo jangwani. NB. Yanga ni moja ya timu chache Afrika zenye mahusiano na LALIGA.
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Mar 14, 2023 #23 Tutasikia na kuona mengi sana..wakati mwenzie huku anahesabu hat trick