Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

Hii ya mtoto wa miaka 8 kweli, kabisa hadi Rais wa Club akaacha shughuli zake kuhudhuria? Wachezaji wangekuwa wanaitisha press conference kila wakiandikiwa barua na kupewa zawadi na mashabiki wao, wasingepata hata muda wa kucheza.
Simba wanavyo tuzo Yao ya Aluminium ata kama ujacheza unapewa, Ata Dilunga Alisha pewa.
 
Hongera Kenedy Musonda tuzo nyingi zitakufuata hapo jangwani.

NB. Yanga ni moja ya timu chache Afrika zenye mahusiano na LALIGA.
 
Tutasikia na kuona mengi sana..wakati mwenzie huku anahesabu hat trick
 
Back
Top Bottom