Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Hata Mayele the king mlisema hivihivi, akaja Azizi 'master' Key nako mlisema hivihivi, umbumbumbu ni tabia hamuwezi kuacha, iko siku utaikana kauli yako hii wewe kolo wa dunduka.
Hebu tuwekee statistic za aziz key akiwa utopoloni tufunge mdomo
 
Hebu tuwekee statistic za aziz key akiwa utopoloni tufunge mdomo
[emoji850]
Screenshot_20230116-222336.jpg
 
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?

Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu...
Heri ya Kibu na Kiyombo ongezes na hao.
 
Hao wenye uwezo mdogo wa kufikiri si wako kwenu kama asemavyo aliekuwa semaji lenu ukiwatoa watu watatu waliobakia wote hamna akili
Umesoma alichoandika mleta mada?
 
Back
Top Bottom