Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?

Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao Mbeya City wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.

Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Hata Mayele the king mlisema hivihivi, akaja Azizi 'master' Key nako mlisema hivihivi, umbumbumbu ni tabia hamuwezi kuacha, iko siku utaikana kauli yako hii wewe kolo wa dunduka.
Hebu tuwekee statistic za aziz key akiwa utopoloni tufunge mdomo
 
Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?

Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu...
Heri ya Kibu na Kiyombo ongezes na hao.
 
Hao wenye uwezo mdogo wa kufikiri si wako kwenu kama asemavyo aliekuwa semaji lenu ukiwatoa watu watatu waliobakia wote hamna akili
Umesoma alichoandika mleta mada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…