Musonda hamna mchezaji mle, promo nyingi uwezo kisoda, heri ya Makambo na Sogne

Tuliza kin
Tuliza kinyeo wewe.
 
wewe saidoo sio mgeni kwenye ligi ta tz na viwanja vyote anavijua,huwezi kumlinganisha na musondo ambaebni mgeni kabisa
 
Mbona kama unateseka? Pilipili ya shamba inakuwashia nini?
 
Alisikika kolo wa ngada fc akisema maneno hayo
 
Mlisema pia Aziz Ki hakuna kitu
 
Magoli mawili mpaka sasa
Assist ngapi anazo ukilinganisha na ile milioni 400 mliomsajilia?
Unakumbuka hii? Ina thamani kubwa sana kwetu wananchi, hii siku ndo aliwakata kidomo domo makolo wote mliufyata
 

Attachments

  • 11.jpeg
    68.7 KB · Views: 3
Yani Nyie Kwenda Kuzurura Si Tuumie?, Si Tunawaonea Huruma, Endeleeni Kuzurura ila Mjue Gape Ni Point 9 [emoji28]
Kama haikumizi usingezungumzia hiyo habari ila kwa vile una maumiv endelea kuumia
Btw biringanya analalamika anarogwa sana kule avic town 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…