Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Nje ya mada. Nimeona umeweka post ya Manara, na Rushayna amei-like. Huyo Rushayna ndio mke wake aliyemegwa Dubai?[emoji850]View attachment 2483989
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada. Nimeona umeweka post ya Manara, na Rushayna amei-like. Huyo Rushayna ndio mke wake aliyemegwa Dubai?[emoji850]View attachment 2483989
Tuliza kinyeo wewe.Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.
Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
wewe saidoo sio mgeni kwenye ligi ta tz na viwanja vyote anavijua,huwezi kumlinganisha na musondo ambaebni mgeni kabisaSasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.
Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mbona kama unateseka? Pilipili ya shamba inakuwashia nini?Sasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.
Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ogopa sana watu wanaoitwa mbumbumbu! Dakika 0 tu wameshasahau.Ntibanzokiza kacheza mechi ngapi..?? Ina maana ni mgeni NBC League kama Musonda au..??
Ungeangalia mechi ya kombe la Dunia mwaka jana kati ya Ghana dhidi ya Uholanzi, ungefuta hiki ulichoandika hapa.Ihefu wamsimamishe kipa wao,aliuza mechi Kwa kula mlungula
Alisikika kolo wa ngada fc akisema maneno hayoSasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.
Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ungeangalia mechi ya kombe la Dunia mwaka jana kati ya Ghana dhidi ya Uholanzi, ungefuta hiki ulichoandika hapa.
Mlisema pia Aziz Ki hakuna kituSasa makelele yote ya kuwa nchi itatingishika ndio yule Musonda?
Ntibazonkiza kacheza mechi moja tu kaondoka na mpira na hao mbeya city wajipange kweli kweli j5, otherwise watakufa 8, msiwe mnawapa sifa wachezaji wakati hamna kitu.
Ni afadhali ya Makambo au Sogne kuliko Musonda.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Unakumbuka hii? Ina thamani kubwa sana kwetu wananchi, hii siku ndo aliwakata kidomo domo makolo wote mliufyataMagoli mawili mpaka sasa
Assist ngapi anazo ukilinganisha na ile milioni 400 mliomsajilia?
Baada ya hapo ubao ukasomekaje?Unakumbuka hii? Ina thamani kubwa sana kwetu wananchi, hii siku ndo aliwakata kidomo domo makolo wote mliufyata
Jiulize wewe mkalia mwikoBiashara kiume how?#Ngada FC.
Bado una maumivu ya simba kwenda dubenga?
Umefunga uzi mkuuKinachofanya Wazungu wapige hatua kubwa kwenye kila wanachokifanya ni kwa sababu watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama mleta mada ni wachache.
Hawa nao walikula mlungula?Ihefu wamsimamishe kipa wao,aliuza mechi Kwa kula mlungula
Bado una maumivu ya simba kwenda dubenga?
Ngada FC.Jiulize wewe mkalia mwiko
Biringanya analalamika mnamroga huko instagramNgada FC.
Kama haikumizi usingezungumzia hiyo habari ila kwa vile una maumiv endelea kuumiaYani Nyie Kwenda Kuzurura Si Tuumie?, Si Tunawaonea Huruma, Endeleeni Kuzurura ila Mjue Gape Ni Point 9 [emoji28]