joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sawa yule kiungo wenu Sawadogo mwambieni kuna Mkude pale na Mzamiru, Thadeo Lwanga,Fraga walivyo umia na kuondoka hata nyie wenyewe hamuelewi,Akpan nae hamuelewi imekuwaje kwaje kashuka ghafla.Biringanya analalamika mnamroga huko instagram
Kama haikumizi usingezungumzia hiyo habari ila kwa vile una maumiv endelea kuumia
Btw biringanya analalamika anarogwa sana kule avic town [emoji1787]
Kwa sasa hivi ni wote huko Yanga hawana akiliHao wenye uwezo mdogo wa kufikiri si wako kwenu kama asemavyo aliekuwa semaji lenu ukiwatoa watu watatu waliobakia wote hamna akili
UbaoBaada ya hapo ubao ukasomekaje?
Hayo ni masuala yao binafsi hawajahi kuja mitandaoni na kulalamika kambi yao inanuka uchawi kama biringanyaSawa yule kiungo wenu Sawadogo mwambieni kuna Mkude pale na Mzamiru, Thadeo Lwanga,Fraga walivyo umia na kuondoka hata nyie wenyewe hamuelewi,Akpan nae hamuelewi imekuwaje kwaje kashuka ghafla.
Ndiyo mswala yao na wataondoka wengi tu ,huyo Sawadogo tuna muhesabia miezi tu.Hayo ni masuala yao binafsi hawajahi kuja mitandaoni na kulalamika kambi yao inanuka uchawi kama biringanya
PoleNdiyo mswala yao na wataondoka wengi tu ,huyo Sawadogo tuna muhesabia miezi tu.
Tena ile sio mechi moja ni nusu mechi kwa yule mchezajiTitoe ushabiki, uwezo Wa mchezaji hautambuliwi kwa mechi moja mkuu
Pole wewe uliye chini yangu.Pole