Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Jana nimeangalia mechi Yanga vs Namungo nimekubali Musonda anajua. Namungo hawakuweza kumkaba Bali kumshika jezi tu jamaa anapepea hakamatiki!
Tumfundishe Musonda kuwa akishikwa na beki awe anaanguka asiende!! Tupate Faulo au penati mechi ya Simba maana hawataweza kumkaba! Morisson awe mentor wake Cedric Kaze fanyia kazi hiyo
Faulo tumuachie za karibu na lango! Si ajabu siku moja tutasikia Musonda kaua kipa wa Simba kwa shuti Kali la Faulo maana kipa Dida wa Namungo Yuko mahututi anatibiwa mikono baada ya kupanga shuti kali la Faulo la Musonda hapo Jana!!
Yanga tumtafutie Musonda playmaker wa kumchezesha kule mbele.
Inajulikana Scouting ya Yanga kiboko hakuna Dunia nzima!!
Cedric Kaze kamatia Musonda atakupa Raha!
MUsonda kakamilika, mwili, mbio, stamina, possession jamaa ni hatari mno. Viungo Yanga nawaomba tumpigie mapande ya maana Musonda atatusaidia pakubwa!
Hii Yanga ya Hersi Ina sifa Kila kitu ni hesabu Kali hawakosei!!