Must see Movies

Project X 2012. Dogo na marafiki zake watatu anafanya birthday party nyumbani kwao baada ya wazazi wake kuondoka. Unfortunately party inakuwa kubwa nje ya uwezo wake kuimudu anasababisha fujo mtaa mzima, nyumba inaharibika mpaka polisi, SWAT inabidi waingilie kati[emoji16][emoji16].

It is based on a real life story ya kijana mmoja anaitwa Corey Worthington huko Australia alianzisha party nyumbani kwao na watu zaidi ya 500 walihudhuria akajikuta anaingia matatani. By that time dogo alikuwa na miaka 16!
 
Ilikuwa bonge moja la party dogo alimtia mzee wake hasara kubwa
 
Ebu nitajie hizo za horror nazipenda sana
 
Ebu nitajie hizo za horror nazipenda sana
The Innocents
Hellbender
Men
Crimes Of The Future
The Black Phone
Nope
Watcher
Hellraiser
Orphan: First Kill
Bodies Bodies Bodies
Smile
Scream
Mr. Harrigan's Phone
Firestarter
Incantation
Jaula
The Privilege
Unhuman
Umma
Master
Choose or Die
Goodnight Mommy.
 
Naomba orodha ya muvi zenye ladha ya john wick yaani mkono mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…