Must see Movies

ila alijaribu COMEDY kidogo kwenye Accident hitman.
 
SWALI LA KIZUSHI

kwa uzoefu wenu wa kutizama movies za mapigani za hawa wababe, hivi kati ya Jason Statham vs Scott Adkins nani anakalishwa ki uharisia kabisa tukitoa yale ma mbwembwe ya kompyuta.View attachment 2469222
Statham muvi zake zinanakshiwa na bajeti nene hivyo zinapendeza kutazama. Adkins pamoja na kuwa muvi zake bajeti inachechemea ila mkono uko hapo ni balaa. Ukiangalia muvi zake za kulipa kisasi utakubaliana na mimi. Pia kuna yule jamaa wa kwenye undisputed ana mwanya hivi naye huwa anashusha mkong'oto fulan amazing
 
SWALI LA KIZUSHI

kwa uzoefu wenu wa kutizama movies za mapigani za hawa wababe, hivi kati ya Jason Statham vs Scott Adkins nani anakalishwa ki uharisia kabisa tukitoa yale ma mbwembwe ya kompyuta.View attachment 2469222
Hapo sidhani kama Statham anaweza kuchomoa japo nayeye amejifunza martial arts kadhaa kama karate, kickboxing etc na ana hadi belt nayeye japo alikuwa anafanya kama kujifurahisha tu. Ila Adkins yupo serious zaidi na hiyo field na ana rekodi nyingi kushinda Statham.
 
Black Site (2022). 3/5 ratings
CIA wanamkamata muhalifu wao, wanampeleka kwenye lock up zao za siri halafu anawageukia wanaanza kuwindana.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Anafaa kuigiza muvi gani huyu
Your browser is not able to display this video.
 
ki uharisia nilisema, haya wewe unamkubali nani?..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…