Must see Movies

Nipe movie moja kali
Yente drama au min series kama white lotus
Hizo zote sio genre zangu pendwa. Series ndio sio mpenz kabisa labda nipate nzuri ambayo tayari ipo complete. Ila naona sikuhizi hizi series fupifupi zimekuwa nyingi ntakuchekia baadhi!
 
Angalia series za kazi kama gangs of landani
Kitamboooo nasubiri nione kam itatoka ingine....ila maswali yangu mama yao na wale machaliii ninani haswa?
Mbona kawageuka mpaka madogo
It seems yeye ndo alimuua mume wake in the first place
Na yule dada aliempeleka kwa yule mpakistani mwanzoni kabla sean hajaja kumchukua ni wazi alipambana nae nusu ya kumuua iweje tena alivyorudishwa na sean yule jamaa hakumuuua?
Yaani ina loose end nyingi sana kias kwamba epsode ya mwisho ni kama mwandishi wastor alikua anasubiri opinion za watu....maana nafikiri ilikua inakua aired one by one..and real watu wengi sana walicoment why yule mdada kauwawa....ndo ksja katokea kipande cha mwisho
...nishawasahau majina kama miez mbili sasa
 
Ndio kusema hakuna action movie/series ambayo imeshatoka mpaka sasa? Nikisema action namaanisha kweli action mkono uembee na misheni za maana.
 
Hebu leta za mkono mkono kali
ninazo za kusukumia siku unaweza check trailer zake Pia kama zitakuvutia, zote kazipiga jamaa wa The Gray Man

#Drive 2011
#Brade Runner 2045
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…