Oi hivi hii the woman king ni kali mbona ina rate za ajabu mfano ⭐6.5Wednesday Series 2022 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee kama hujaangalia hii series fanya mpango uiangalie View attachment 2499503View attachment 2499504View attachment 2499505
Wednesday hii inahusu nini na huyo dadaWednesday Series 2022 [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee kama hujaangalia hii series fanya mpango uiangalie View attachment 2499503View attachment 2499504View attachment 2499505
Michael jai whiteStatham muvi zake zinanakshiwa na bajeti nene hivyo zinapendeza kutazama. Adkins pamoja na kuwa muvi zake bajeti inachechemea ila mkono uko hapo ni balaa. Ukiangalia muvi zake za kulipa kisasi utakubaliana na mimi. Pia kuna yule jamaa wa kwenye undisputed ana mwanya hivi naye huwa anashusha mkong'oto fulan amazing
SaviorKuna movie ya kitambo sana haina sterling . watu wanatekwa wanapelekwa baharini anagongwa mmoja baada ya mwingine nyundo la kichwa. km unaijua pls nichek bro
The Woman King ni ya kawaida tu, main action zake ni za vita na pia hiyo ni Drama kwa hiyo Ina stori pia.Oi hivi hii the woman king ni kali mbona ina rate za ajabu mfano [emoji294]6.5
Hii movie hadi leo sijaimalizia, it was out of my expectations. Yan yale mazingira sikuyategemea kabisa!!The Woman King ni ya kawaida tu, main action zake ni za vita na pia hiyo ni Drama kwa hiyo Ina stori pia.
Lakini hizi ratings sometimes sizifuati, Kuna series inaitwa the Bastard son and the devil himself, nimeiona Ina ratings kubwa nimeiangalia nikaishia episode ya kwanza tu[emoji23][emoji23] Nimeshindwa kuendelea nayo kwa kweli
Na hiyo series wamei cancelThe Woman King ni ya kawaida tu, main action zake ni za vita na pia hiyo ni Drama kwa hiyo Ina stori pia.
Lakini hizi ratings sometimes sizifuati, Kuna series inaitwa the Bastard son and the devil himself, nimeiona Ina ratings kubwa nimeiangalia nikaishia episode ya kwanza tu[emoji23][emoji23] Nimeshindwa kuendelea nayo kwa kweli
Ipi The Woman King au Bastard Son and the devil himself?Hii movie hadi leo sijaimalizia, it was out of my expectations. Yan yale mazingira sikuyategemea kabisa!!
Mkuu hii nayo inahusu niniHii Wednesday wafanye haraka watoe season 2. Sijawahi kupenda series kama nilivyoipenda hii
Naisubiria kwa hamu sana[emoji39][emoji39]
View attachment 2501330
Mimi kuelezea siwezi kwa kweli ndio maana nahofia nisije nikaelezea nikaharibu ladha halafu ukafikiri ni mbaya kisa usimulizi wangu mbovu[emoji38][emoji38]Mkuu hii nayo inahusu nini
Nimekubali mkuu nimetamani kuitazama ngoja nipate bando niingie niichukue story imenitamanisha sanaMimi kuelezea siwezi kwa kweli ndio maana nahofia nisije nikaelezea nikaharibu ladha halafu ukafikiri ni mbaya kisa usimulizi wangu mbovu[emoji38][emoji38]
Huyo demu kwenye cover page anaitwa Wednesday na amehamishwa na wazazi wake kutoka shule aliyokuwa anasoma kwenda Nevermore. Nevermore ni shule ya outcasts, wanafunzi wake ni kama watu wa kawaida tu ila wana abilities mbalimbali ambazo binadamu wa kawaida hawana, wengine wana uwezo wa kujibadilisha na kuwa viumbe hatari.
Kwenye maeneo ya jirani ya Nevermore kuna mauaji yanafanyika na watu wanashindwa kujua ni nani anayefanya hivi huku Mayor wa Jericho town na askari mkuu wa mji huo wanafikiri kuwa ni dubu ndio anafanya haya mauaji. Lakini ukitafakari kwa kina inaonekana kiumbe kinachofanya mauaji haya ni kiumbe chenye akili kwa sababu kinaua na kuchukua baadhi ya viungo vya mwili kama vidole gumba, moyo n.k
Wednesday ni binti jasiri, anafuata njia zake, hajali hisia za watu, ni mkaidi hakati tamaa, genius jeuri na ni mchunguzi pia. Kwa mara ya kwanza kabisa Wednesday alipata kuona kiumbe hiki kikiua mtu mbele ya macho yake. Ndipo Wednesday akaanza kukifuatilia. Wednesday anapata psychic visions zinazomsaidia kuona past na future na zilikuwa zinampa mwangaza sana kwenye uchunguzi wake. Baadaye kabisa Wednesday anakuja kugundua kuwa huyo Monster ni mwanafunzi mmojawapo kutoka Nevermore school. Anajiuliza maswali mengi huyu monster [emoji88][emoji88] ni nani, na kwa nini akiua anachukua viungo, anashirikiana na nani hapo shuleni na mambo mengine kibao.
Hivyo Wednesday anaamua kupeleleza hili suala kiundani zaidi huku akiwahisi baadhi ya watu kuhusika.
Wednesday 2022 ni miongoni mwa series zilizotazamwa zaidi Netflix kwa sasa
View attachment 2501420
HautojutiaNimekubali mkuu nimetamani kuitazama ngoja nipate bando niingie niichukue story imenitamanisha sana