Must see Movies

Baada ya miaka zaidi ya 5 ndio kwa mara ya kwanza nashawishika kuangalia muvi ya kihindi wakitoa digital yenye quality nzuri.

Wakizingua na humu hapo nawablacklist mazima.

Your browser is not able to display this video.
 
Tangu mwaka jana nafuatilia movie za kihindi na nimedownload nyingi sana , katika zote nilizotazama RRR ndo babalao
RRR naiongeza kwenye list.

Walichofanya nikawaacha ni ile habari ya mtu kumpiga mwenzie kama kitenesi ngumi mtu anadunda dunda kama mpira wa basketball.

Wakiacha huo ujinga watakimbiza sana maana kwa story wako vizuri mno.
 
Yes mimi piah niliacha kuwafuatilia kwasabb hiyo mala mtu anadaka ndege anairusha juuu, chukua mzigo mwingine huu hapa wa mwaka huu story yake na action ni nzuri

No Guts No Glory

A gang goes to rob a bank only to find that there's already a criminal mastermind holding it for ransom, but his identities and motives behind the heist remains mysterious. As they plan to collect the bounty and disappear without a trace, their crimes and their past slowly catches up with them.

Wadau me natafuta site za kupakua Korean Series mwenye anajua anielekeze au link kama anayo
 
Wakuu msaada wa link ya SAKRA
Ukifika kwenye hiyo page gusa watch ( ya kwanza juu kwenye jedwali ) then play.

Ikianza tu kuplay hapo chini utaona alama ya download. Gusa hapo itakupeleka kwenye download links so chagua quality na size kisha shusha mzigo.
 
Mkuu vipi kifinyo huko, kimetembea vilivyo?!
 
Mkuu vipi kifinyo huko, kimetembea vilivyo?!
Kifinyo cha kutosha tu aisee... Ila kuna jambo sijapenda.

Donie ana superpowers za kumanipulate air japo anafanya hivyo mara chache sana.

Nilitamani iwe kavu kavu kama kwenye Wu xia ( Dragon ) ila kifinyo tu kawapa.

Speaking of Wu xia ( Dragon ) hakuna kosa Donie aliwahi fanya kama kujikata mkono kwenye ile muvi. Aisee baba yake alimtembezea kifinyo cha kikatili ilibidi wamuue mzee kwa kumchonganisha na radi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16]hapo Donnie ndio huwa ananikosha. Hii movie kwenye machimbo yangu yote nimeikosa, kesho napita kwenye hiyo link yako namini nikapate nakala yangu!!
 
[emoji16][emoji16]hapo Donnie ndio huwa ananikosha. Hii movie kwenye machimbo yangu yote nimeikosa, kesho napita kwenye hiyo link yako namini nikapate nakala yangu!!
Machimbo mengine yote hakuna huikuti hadi kuipata huko nimetafuta balaa.

Hapo yts watakuwa wa mwishoo kuiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…