Must see Movies

Ndo maana niliweka comment hapo juu hii movie inahitaj utulize akili, usiwe na stress na uwe umekula umeshiba utaielewa vizuri sana ,na inabidi uwe unapenda movie za watasha
nmeangalia movie nyingi , za ujasusi ,Thriller nk
ila hio Hunt nathubutu kusema ni ya hovyo!
 
Ahsante,humu tunalishana sana matango pori,kuna mwingine aliisifia sana Polar dah nikaishusha kwa kweli nilijuta.Acha nibaki na Series zangu pendwa TEHRAN na GODFATHER OF HARLEM(Bumpy Johnson).
hio movie imepewa promo + hio cover yake unaweza dhani sijui bonge la movie... ukitaka vitu vya north korea heri uangalie carter japo G.father imenishinda kuiangalia

watu wanajikuta wanaangalia movie kwa utuliiivu, kitu km ni kibaya kibaya tu
 
hio movie imepewa promo + hio cover yake unaweza dhani sijui bonge la movie... ukitaka vitu vya north korea heri uangalie carter japo G.father imenishinda kuiangalia

watu wanajikuta wanaangalia movie kwa utuliiivu, kitu km ni kibaya kibaya tu
S. Korea wamenikosha sana kwenye The Roundup kwa sababu ya action na Project Wolf kwa sababu ya kuuana vibaya vibaya na zile damu damu[emoji28][emoji28]
Kuna muvi inaitwa Alienoid 2022, ni ya Kikorea halafu trailer lake ni zuri sana. Watu wanaisifia balaa. Kama umeiona naomba uniambie ukweli nisije nikachoma MB zangu[emoji28][emoji28]
Kama hujaiona basi, nitaleta mrejesho kama ni nzuri. JUNG_E ilipigiwa sana promo, lakini watu wanasema ni mbaya.
 
Shukran sanaaa

Leo katika kutembea nimekutana na hii website inaitwa 1.moviesjoy.to hii unaangalia movies in HD kabisa pia utaweza pakua movies ukitaka
2. Kwa watumiaji wa android kuna hii app inaitwa na torrdroid ipo playstore utaweza pakua movie utakayo pia

View attachment 2530126
 
Sante sanaaaa
 
Nimeamua kurudia kingsman secret service
kwa sababu wadau hamtaji muvi nyingine kali za kuangalia
Mwenyewe nimerudi 2021 kwanza, huu mwaka muvi bado hazijaanza kuchochea na muvi za 2022 nyingi watu wameziona. Labda uanze kuzifuatilia kwa nchi mfano best Chinese movies in 2022, Japanese, Korean, Indian, Norwegian, Spanish au French movies ukichukua zile best za kila nchi nadhani utapata muvi za kuangalia nzuri tu lakini za nchi tofauti tofauti.
Kwa 2021 nimeiangalia animation ya LUCA, hii animation tamu sana na ni very emotional. Ndio mara yangu ya kwanza kuangalia animation ambayo inagusa moyo kabisa, kwa sababu uzuri wake upo kwenye story.
Otherwise jaribu kuangalia ALIENOID 2022, ni action movie nimeona watu wanaisifia.
 
Sijaziona ila nahisi ni nzuri
nilitaka kuziweka leo niangalie
sema movie ambazo zimekaa kama Transformers zjmenichosha sana
pia Allien invasion nmeziona sana..
mpaka sina mood tena..
ila alienoid naona itakua nzuri zaidi ya Jung E
 
Indiana Jones inarudi tena, safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…