Must see Movies

Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
 
Washenzi kweli hao HBO si ata kwenye Game Of Thrones wameonyesha mambo yao

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
 
Haya makampuni makubwa makubwa ya kuzarisha na kusambaza movie wamekuja na ajenda yao ya kutangaza mapenzi ya jinsia moja ,mimi nimetoka THE LAST OF US imezalishwa na HBO aseeh ushoga uliokuwa humo ndani ni balaa tupu
Duh kumbe hadi The Last of Us Ina ushoga. Ndio maana nimeangalia episode mbili tu ghafla nafsi ikasita kuendelea nayo, kumbe mbele kuna ubwabwa.
Michelle Yeoh naye ameact muvi kali tu ya action inaitwa "Everything everywhere all at once" nayo inatetea ulesbian, pia wanaume ambao wapo kwenye fighting scene wanafanya mambo ya ovyo tu[emoji1751][emoji1751]
Naona siku hizi kwenye movies waongeze genre ya LGBTQ. Kwa mfano movie ni ya Action, Sci-fi, Adventure, Drama halafu kama ina mapenzi ya jinsia moja waandike pia LGBT ili sisi tuachane nayo mapemaaa. Siyo wanakaa kimya watu tunaangalia muvi tunakuta mambo ya ovyo. Shenzi zao!
 
TLOF ungeangalia episode ya 3 kwana mwamba anaitwa bill anaolewa na mwanaume mwenzie anaitwa FRANK na huko mbele huyu demu star Ellie nae anampenda demu mwenzake japo huu mzigo unastori na nzuri hasa kwasisi tuliocheza game lake , ushoga humo ndani umezidi
 
Mashoga wanatulazimisha tuwapende sijui kwanini wanatumia nguvu kubwa kujitangaza, sasahivi ukimsema vibaya shoga unafunguliwa mashtaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…