Must see Movies

Asante mkuu
 
 

Attachments

  • images.jpeg
    49 KB · Views: 13
Scofield alimsumbua sana jamaa pale Fox River. (Kama ingekuwa ni uhalisia nadhani Bellick angekuwa hapati usingizi kabisa akimfikiria Scofield).

Bellick na Kellerman ni character ambao sikuwapenda kabisa Season 1, lakini mbeleni walicheza kama Pele

Paul Scheuring alituliza sana kichwa kwenye hii Series
 
Kellerman ni character nilietokea kumkubali sana anamisimamo mikali sana mwamba
 
Kabisa mkuu, kwa jinsi alivyokuwa mnaa hata mimi sikumpenda kabisa, ila huko mbele alikuwa kivutio[emoji16][emoji16]
 
Naomba mnitajie muvi kali ya kuchinjanachinjana, kuuana vibaya, kutoana makoromeo, kuvujishana ubongo, kupasuana makende, kukatana miguu, kutoboana macho, kumwagana utumbo na wanaonesha mauaji yote bila kuficha chochote, yaani damu ziwe zinatapakaa kila dakika ya muvi. Sijali iwe na story mbaya au nzuri, yoyote ile cha msingi mauaji yawe ya ovyo ovyo tu.
Muvi ya namna hii naihitaji sana, iwe kuanzia 2018 kuja juu. Nitawashukuru sana mkinitajia jina.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji119]Umetisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Icheki "The Night Comes for Us" ina hayo mambo boss
 
[emoji16]Sema tu unataka kuangalia SAW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…