Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Inakuja muvi inaitwa dragon(2009)
Nilisikia umu mkiisema nayo nimeiscip acha tu nicheze Game lake kwenye PsThe Last of Us ina ushoga pia. Na huyo jamaa yupo
[emoji16][emoji16]wazungu wanataka masuala ya ushoga tuyaone kawaida, bila shaka ndio ajenda yao kuu maana kila movie mpya ikitoka unakuta ina ka upinde kidogo!Ohayaaaa hivi movie gani kali za kijasusi za korea mazeeeee hizi za kule west ni. Ushoga bin kwenda mbeleee
Ohayaaaa hivi movie gani kali za kijasusi za korea mazeeeee hizi za kule west ni. Ushoga bin kwenda mbeleee
Kuna mahala nimeona kipande cha video, viumbe kama binadamu ni weupe kwa rangi wanavamia katika dunia sasa hawa binadamu wa kawaida ukiwaona hao viumbe unapaswa ugande kama ulivyo ukijitikisa umekwisha. Mwenye anafahamu jina la hiyo movie aniambie tafadhali.
Hii ni nzuri au.
Iko poa tu, Just a horror comedy. Inahusiana na familia moja inahamia nyumba kumbe ndani yake kuna mzimu. Ila mzimu usiotisha[emoji16][emoji16]. Ila mwisho mpaka itajulikana kwanini jamaa alikwama kwenye ile nyumba kama mzimu.Hii ni nzuri au.
Kabla hatujajilipua
Duuuh,noma sana nataka kuifananisha na silent
A Quiet PlaceKuna mahala nimeona kipande cha video, viumbe kama binadamu ni weupe kwa rangi wanavamia katika dunia sasa hawa binadamu wa kawaida ukiwaona hao viumbe unapaswa ugande kama ulivyo ukijitikisa umekwisha. Mwenye anafahamu jina la hiyo movie aniambie tafadhali.
A Quiet Place
Humkumbuki hata muigizaji mmoja kwenye hiyo movie?! Ili kama ukimkumbuka japo kama ulishawahi kumuona kwenye movie nyingine, i search hiyo movie then nenda kwa yule actor watakuletea movies zote ambazo amecheza. Unaweza tatua shida yako kwa staili hiyoHii naona imechezwa maporini ila ninayo zungumzia imechezwa town hayo madude yako kama roboti
Humkumbuki hata muigizaji mmoja kwenye hiyo movie?! Ili kama ukimkumbuka japo kama ulishawahi kumuona kwenye movie nyingine, i search hiyo movie then nenda kwa yule actor watakuletea movies zote ambazo amecheza. Unaweza tatua shida yako kwa staili hiyo